Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

Mkuu unajua Kuna vitu mtu mzima hupaswi kufanya. Kweli unaenda mkoa wa mtu bila taarifa, inaingia akilini? NATAKA nimtukane ili iwe funzo. je angepata tatizo ningejibu nini mimi.

Kwishaaaaaa
wewe ni mwanamke, kwa mwanaume kuleta mada ya hivi haiwezekani.
 
Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke.

Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi nilipowasiliana NAE? JE nikimkaushia takuwa NMEKOSEA?
Mimi ningekubwa na furaha kubwa ya kumuona pacha 😁
 
Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke.

Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi nilipowasiliana NAE? JE nikimkaushia takuwa NMEKOSEA?
Nipe namba yake nimpokee mimi pacha wako huyo atalala kwangu leo
 
Back
Top Bottom