Twinzi kumbe tuendelee kugombana tu! ni kawaida….Ukisikia kupatwa Kwa Twinzi ndio huku Sasa binti kiziwi
Kabisa 🙌Kama unaweza kumkaushia pacha wako sisi si utaweza kutuua kabisa mkuu 😁
Hii tabia wanayo wanadoa na wale wenye mapenzi yaoUnataka tukushauli ili baadae mtuite *******🤣🤣🤣
Kulwa una gubu sanaWampokee tuu, ila SIWEZI sapoti hio tabia, hata kama ni WEWE kweli. MTU uongee NAE HAKWAMBII CHOCHOTE ALAF ghafla KESHO kutwa amefika kwako utajisikiaje?
Kwishaaaa
Mkuu Iko HIVI, tumeongea juzi VIZURI kabisa tukaagana VIZURI TU. Leo natafutwa na NDUGU ZANGU, NAAMBIWA mwenzako kaja huko usha onana NAE, nikashangaa MANA SINA taarifa zake. Alafu ETI na YEYE NDO ananmbia nmeshafika hapa kweli? Mnaona ni tabia nzuri HIYO. JE NINGEkua nme safiri.Kabisa 🙌
Umeanza kukumbuka sayansi-kimu darasa la nne!Uwii hilo neno la zamani😆😆😆
Achaaaa kina Mbaga Jr watampokeaHAMNA kazingua SANA. JUZI tumeongea HAJASEMA. ALAF Leo NAAMBIWA na watu WA PEMBENI, ALAF BADAE NAYE NDO anasema kweli HUO ni utu.msimamo UKO palepale simpokei
Kwishaaaa
Haha jina Hilo sio geni masikioni kwanguTwinzi kumbe tuendelee kugombana tu! ni kawaida….
Hilo jina lake limenichekesha 😅😅