Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke.

Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi nilipowasiliana NAE? JE nikimkaushia takuwa NMEKOSEA?
Umri wako ndugu kijeba
 
Kampokee ndugu yako
 
Unataka tukushauli ili baadae mtuite *******🤣🤣🤣
 
Nina pacha mwenzangu tumezaliwa WAWILI Mimi KULWA pande la MWANAUME kijeba khaswa, ye DOTO ni mwanamke.

Juzi nimewasiliana NAE VIZURI TU tukamaliza. Leo najulishwa kaja sehemu nilipo na anani tafuta. HIVI unaendaje sehemu bila KUTOA TAARIFA kwa mwenyeji wako wakuu, kwanini asinge nijuza majuzi nilipowasiliana NAE? JE nikimkaushia takuwa NMEKOSEA?
Mkuu yani jambo kama hili ndio emergence? Tena ndugu yako pacha kabisa... huyo hata uwe unalala chini hatoshangaa.
 
bla shaka we pacha yai lako lilikua viza,, roho gani io mwenzio kaamua ku surprise ,,,, msaada wa haraka my foot.
 
Back
Top Bottom