Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

Hakyanani Jf imevamiwa.hili nalo la kulia lia uulize kwa mtu?, tena twin ako?😆dah
Angepata tatizo, ilihali SINA taarifa kama kaja. unazani NINGE KUWA KWENYE wakati upi katika familia, hukusikia basi limeungua? JE NAYE angekuwemo?



Kwishaaaaaa
 
Wewe mfanyizie hivyo, mkaushie

ila Lete namba tumtumie pesa ya hotel, asije ingia angle za wahuni
 
Wewe mfanyizie hivyo, mkaushie

ila Lete namba tumtumie pesa ya hotel, asije ingia angle za wahuni
Mkuu WATU wana ona ni JAMBO jepesi, ila SI hivo, NIMEJIULIZA apate TATIZO, ALAF mi SINA taarifa kama kaja tawajibi Nini familia?


Kwishaaaaa
 
Back
Top Bottom