Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

Msaada wa haraka ndugu zangu mawazo yenu wakuu

HAMNA kazingua SANA. JUZI tumeongea HAJASEMA. ALAF Leo NAAMBIWA na watu WA PEMBENI, ALAF BADAE NAYE NDO anasema kweli HUO ni utu.msimamo UKO palepale simpokei


Kwishaaaa
Mpokee akifika ndiyo umkanye asirudie tena
 
😂😂😂😂hili nalo la kuomba ushauri jamani dah! Haya tumeshajua mmezaliwa mapacha
HAMNA SINA MANA HIYO mkuu. ni MTU TU ana amua kukuvuruga. NATAKIWA niandae bajeti ya chakula nihairishe ratiba kadhaa SA MTU ana kushtukiza mkuu kweli NDO maisha hayo na juzi TU tumezungumza hajasema kama waja


Kwishaaa
 
Unataka doto amsimulie magoli ya usiku kulwa
Amenichosha mkuu. Nilimkanya Dodoma HIVI HIVI, SINA hili Wala lile ETI NAAMBIWA nieende cbe gari imekaribia, ALAF HAPO ni usiku kweli.


Kwishaa
 
Mkuu angalia hii chart, HIVI HUYU kweli Yuko sawa WAKUU, SI tutakua tunaonekan wabaya bure
 

Attachments

  • Screenshot_20250802-212941.png
    Screenshot_20250802-212941.png
    361.5 KB · Views: 11
Naomba namba za huyo dada ako nimkanye aache tabia mbaya.
 
Back
Top Bottom