mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
Habari Wana JF.
Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.
Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.
Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...
Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...