mazaga one
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 2,514
- 4,042
- Thread starter
- #41
Ana Miaka 29Rafiki yako ana miaka mingapi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ana Miaka 29Rafiki yako ana miaka mingapi?
Hiv ninyi huwa mpoje!? Yaan mim simu ya mke wangu nisishke kisa nin! Huyo mke ni wangu au ni danga, simu nimnunulie mim halaf nisiiguse!?Tumshauri nini wakati alichokitafuta amekipata?
Simu ya mwanamke wewe ya nini? Ni ujuha tu.
Apime, kipi kinamfanya awe na amani, kuendelea nae au kuachana nae? Kuna watu hawana uwezo wa kusamehe, kama hawezi kusamehe na kusahau aachane nae,Ana Miaka 29
Hahahahahahaha wewe jamaa bwanaaKatika masuala ya mahusiano mtu hashauriwi bali ushauri anao yeye muhusika.Sasa wewe jitie mtoa ushauri uone utakavyo adhirika siku watakapo rudiani tena m'baya ni yule mtoa ushauri.Yaani mimi siwezi mshauri mtu kwenye hicho kipengele ni bora niende zangu bar kula gambe
Too childishTumshauri nini wakati alichokitafuta amekipata?
Simu ya mwanamke wewe ya nini? Ni ujuha tu.
Mi nipo hivo mkuu nikiona unaanza niletea hizo mambo ya kutaka maushauri ya mahusiano nakuacha hapo naingia zangu bar kula vitu vyangu sitakagi stress mimiHahahahahahaha wewe jamaa bwanaa
Jando inabidi zirudi umemfumania ila bado unafikiria, hayo tunayaita matumizi mabaya ya akili.Habari Wana JF.
Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.
Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.
Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...
Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
Hujakatazwa, wewe kaguwa tu simu ya mwanamke lakini usirudi hapa kuja kulialia.Hiv ninyi huwa mpoje!? Yaan mim simu ya mke wangu nisishke kisa nin! Huyo mke ni wangu au ni danga, simu nimnunulie mim halaf nisiiguse!?
Alitegemea nini kuwa na mwanamke mbali na alipo. Je yeye huko alipo hana mwanamke? Waachane tu wasije kuuana na maradhi.Habari Wana JF.
Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.
Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.
Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...
Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
Habari Wana JF.

Usikute una comment kwa nguvu nyiingi kumbe hata mke huna!! wala mchumba.....Tumshauri nini wakati alichokitafuta amekipata?
Simu ya mwanamke wewe ya nini? Ni ujuha tu.
Mapenz hayashauriwi.Habari Wana JF.