Msaada wa Haraka: Rafiki yangu kagundua Mchumba wake ni Msaliti, kachanganyikiwa hajui la kufanya Mpaka sasa

Bado nasoma comments Wadau,ila Mpaka sasa Nimepata picha ya Cha kumshauri jamaa
 
Katika kitu kinachonishangaza ni mtu kuumia kisa kasalitiwa..... Kinanishangaza sanaa.

Sababu nowdays ni kitu cha kawaida sanaaa.
 
Ana Miaka 29
Apime, kipi kinamfanya awe na amani, kuendelea nae au kuachana nae? Kuna watu hawana uwezo wa kusamehe, kama hawezi kusamehe na kusahau aachane nae,

Lakini.., kuna mambo mengi mno ya kuzingatia ambayo nikianza kuuliza tutakesha, aangalie pia ni tabia yake huyo binti ama alipitiwa na shetani? au hata akiwa kwenye ndoa atachepuka? Wako serious kiasi ganì kwenye huo uchumba? Nakadhalika nakadhalika nakadhalika.... Ni ngumu sana kushauri mahusiano, achanganye na zake..
 
"Mapenzi ya siku hizi ruksa kushikana ila sio kushikiana simu" GOAT FidQ
 
Katika masuala ya mahusiano mtu hashauriwi bali ushauri anao yeye muhusika.Sasa wewe jitie mtoa ushauri uone utakavyo adhirika siku watakapo rudiani tena m'baya ni yule mtoa ushauri.Yaani mimi siwezi mshauri mtu kwenye hicho kipengele ni bora niende zangu bar kula gambe
 
Hahahahahahaha wewe jamaa bwanaa
 
Yani siku hzi njia za kukuvuruga mazima ni mbili tu

1...Nenda kwa demu kwa kushtukiza

2...kagua simu ya demu kwa kushtukiza
 
Habari Wana JF.

Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.

Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.

Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...

Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
Jando inabidi zirudi umemfumania ila bado unafikiria, hayo tunayaita matumizi mabaya ya akili.

Mimi jamaa yangu alitaka kumsuprise demu wake aliyekuwa akifanya kazi mkoa na Laptop mpya, kaenda kule kamfumania, jamaa uzuri hakupanic wala nini kapiga chini karudi na Laptop yake,maisha yana endelea.
 
Hiv ninyi huwa mpoje!? Yaan mim simu ya mke wangu nisishke kisa nin! Huyo mke ni wangu au ni danga, simu nimnunulie mim halaf nisiiguse!?
Hujakatazwa, wewe kaguwa tu simu ya mwanamke lakini usirudi hapa kuja kulialia.

Mtu anayejielewa hawezi kuangaika na simu ya mwanamke.

Wengi ni ngumu sana kuamini kwamba wanawake ndio waaminifu zaidi kwenye mahusiano kuliko wanaume.

Ukiona mwanamke anacheat ujuwe ana sababu ya kufanya hivyo na siyo tamaa ya mwili kama mwanaume.
 
Habari Wana JF.

Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.

Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.

Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...

Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
Alitegemea nini kuwa na mwanamke mbali na alipo. Je yeye huko alipo hana mwanamke? Waachane tu wasije kuuana na maradhi.
 
Kama anamheshimu na hajawahi kuonesha dalili sioni sababu ya msingi,isitoshe umbali ni changamoto kwenye mahusiano ukizingatia wasichana wengi ni dhaifu
Lakini pia alipata alichokuwa anakitafta siku hizi kuna safari za kistukiza???,ni mda sana sijasikia hizi safari za kustukiza,
 
Msaada wa haraka upi tena? Unapogundua mke mtarajiwa si mwaminifu huwezi kufanya maamuzi MUAFAKA hadi uende mtandaoni ukaombe ushauri!?

Mbona MMEBWETEKA HIVYO!? 😳😳😳😳😳😳

Habari Wana JF.

Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.

Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.

Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...

Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
 
Sasa akimwacha huyo mdada, huyo jamaa ataacha wangapi? maana cku hizi kila mdada ana-cheat.. amsamehe tu huyo demu waendelee na uhusiano
 
Habari Wana JF.

Kuna Rafiki yangu nimesoma nae chuo, Sasa alikuwa na Mpenzi wake wa karibu na wamekaa takribani Miaka 4,ila Kwa bahati mbaya yeye huyo jamaa na Mchumba wake Wanaishi Mikoa Tofauti,ila mara kadhaa Binti huenda kumtembelea jamaa yake.Na wanapendana Sana tu.

Sasa Changamoto kubwa ya kilichotokea hivi karibuni na ambacho kimemchanganya Rafiki yangu,ni kwamba alienda safari ya ghafla Mpaka Mkoa ambao huyo Binti anaishi,na Kwa bahati nzuri akashika simu ya huyo bidada na kuona ya kwamba kasalitiwa na huyo Binti na Njemba Nyingine.

Mdada kaomba msamaha Kwa jamaa,lakini jamaa kasema bidada ampe muda Ili aweze kung'amua asije juta Mbeleni,na kiufupi jamaa anampenda huyo bidada,lakini Kila akikaa anasema hawezi rudiana nae.
Sasa Mimi kama rafiki yake nimekuja humu Ili Wana JF muweze Kutoa msaada wa kimawazo na Experience zenu Ili niweze kumshauri huyu jamaa ambaye kawa mnyonge Sana na anasema anawachukia Wanawake wote wa Dunia hii na haamini Tena Mwanamke hata kama akisema anampenda...

Nawasilisha,Ushauri wenu ni muhimu sana...
Mapenz hayashauriwi.
Ila mwambie jamaa yako aache upoyoyo. He should be a man. Na huyo demu atakua anajua jamaa lake ni POYOYO.
 
Back
Top Bottom