Msaada wa Haraka: Rafiki yangu kagundua Mchumba wake ni Msaliti, kachanganyikiwa hajui la kufanya Mpaka sasa

Mkuuu just a little beat
 
Mwambie achangue sumu ya panya ama kitanzi[emoji849][emoji849][emoji849]
 
Hakuna mke wa peke yako kama njiwa . Labda awe na sura mbuzi .

Vumilia ni kawaida hasa mnapoishi mbali mbali namna hiyo.
 
Mwanakulifind, mwanakuligeti.

Mwambie aache ujinga, kuchapiwa siri ya ndani.
 
Mwanakulifind, mwanakuligeti.

Mwambie aache ujinga, kuchapiwa siri ya ndani.
Hahahaha Ubaya bidada anajitangaza Kwa Watu asaidiwe Kuombewa msamaha Kwa jamaa,Sasa jamaa kanisimulia ndio Maana nimeamua Kuleta huku wajuvi mseme neno
 
Mwambie afute kila kinachomuhusu huyo Mwanamke na Aanze Kuwaza Mabaya ya huyo dem tu asiwaze mazuri yake, Yani Kila akikaa awaze huyu Mwanamke angekuja kunisababishia kuea mtoto si wangu huyu, Yani Awaze Negatively mwanzo Mwisho na Ajipe moyo kwamba Mungu kaniepusha na Balaa, Wanawake mbona wamejaa kibaaao tu

Sent from my SM-C9000 using JamiiForums mobile app
 

Kwani ukisema huyo mtu ndo wewe shida iko wapi?

Lakini vitu vingine mbona vipo straight forward kufanya maamuzi.

Yeni yeye kashindwa kuchukua hatua na wewe ukashindwa kumshauri ukaona Ulete huku?
 
Vipi inapokua kinyume na hapo??? Napo tufanyeje??
 
Una namba ya simu ya huyo shemeji yako mkuu? Kitu nataka nimuelekeze mara moja ili huyo rafiki yako aweze kumsamehe haraka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…