Chakaza
JF-Expert Member
- Mar 10, 2007
- 40,455
- 73,145
Kama Mtanzania na niseyependa mtu apogee au apoteze wengine naomba hili lifanyike.
Makonda amesikika kama kawaida yake kuropoka maneno yenye utata kuwa Rais Samia anaongoza hapa nchini kwa kurogwa sana na pia karudia tabia ile ya kulialia hovyo hadharani kwa kivuli cha kufanya maombi na kuombewa.
Jee ana makosa gani hayo yanamtafuna kiasi hicho mpaka anahitaji sympathy ya kuombewa na mikusanyiko ya watu kwa kivuli cha uongo kuombea nchi?
Mbona maombi hayo ni kuombea amani tuu bila kuiombea HAKI?
Viongozi wa serikali, wa dini hata wazee wamchukue huyu bwana na kumpa ushauri wa kisaikolojia awaambie nini kinamnyima furaha moyoni na kumpa hofu?
Kwa nini anatumia maneno ya kuchafua nchi kama hilo la "kurogwa Rais"? hadharani au yeye Rais ndio anamtuma? Na kama anamtuma kwa hiyo Rais wetu ni mshirikina na mwoga wa kurogwa? Anatufaa kweli kwa hulka hizo?
Nifanyacho hapa nikuomba mwenye uwezo ajitokeze kumsaidia maana naona kuna viongozi wa dini za mchongo wanamtumia kimaslahi tuu.