Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza uzito wa mtoto .
Maana Dr ananiambia kwa uzito huu ni hatarishi kwangu na mtoto pia
Duu nashukuru sana atleast umenitia moyoHauna shida Wala usipanic kula vizuri na pumzika ,mtoto atazaliwa salama bila tabu yoyote
Mwanangu wa kwanza nimemzaa na kg 2.8,kalikuwa kadogo hadi niliogopa but he was ok
Saiv ni bonge la kijana,hadi mtaan wamempachika jina la bongenyanya
Tatizo kubwa ultra soud za hapa aziko accurate au sahihi wanacho fuata ni pesa, alisha wahi kushauri mke wangu eti atajifungua wiki 6 bado, wakati mimi ni medical practitioner, na nili mhesabia tangu mwanzo pamoja nakua mbali nae nili mshauri alale hospitali kuu hiyo siku akajifungua, dont trust muchine za bongo.Kanishauri kuzingatia kula vizuri tuu
Nimekuja humu ili kupata experience kwa wale waliopitia changamoto hii walifanyaje kwa natokeo ya haraka
Unachosema ni sahihi lakn kwa hili naweza kuamini majibu haya ya utrasoundTatizo kubwa ultra soud za hapa aziko acvurate au sahihi wanacho fuata ni pesa, alishawahi kushauri mke wangu eti atajifungua wiki 6 bado, wakati mimi ni medical, na nilimhesabia tangu mwanzo pamoja nakua mbali nae nilimshauri alale hospitali kuu hiyo siku akajifungua, dont trust muchine za bongo
Mkuu, kuna ma neno umeya achanisha kuya soma yana tia ukakasi ki nomaNaona ume amua kutu amini watoa maoni wa JF kuliko doctor wako
Relaaaaax madamu,,mimi adi naenda kujifungua hakuna aliye amini tumbo lilikua dogo balaa.Unachosema ni sahihi lakn kwa hili naweza kuamini majibu haya ya utrasound
Maana hata tumbo langu sio kubwa
Mwanzo nilidhani labda ndio maumbile yangu maana ndio uzazi wa kwanza
Namimi pia naamin atazaliwa juu ya huo uzito wa 2.5kgHatarishi ni kama akizaliwa chini 2.5Kg, na bado wengi wanakua vizuri tuu.
Possibly wako atazaliwa juu ya hiyo ya sasa.
Maana bado anakua.
Wewe usiwe na wasiwasi, kula vizuri, maji mengi na Baba mtu apige mzigo.