Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Sijui ni dokta gani mi nilijifungua week 36 mtoto wa 2.5 kg. vizuri tu ila kadogoo.clinic ya Kwanza siku 48 alikuwa na kg 5 .clinic ya pili 6kg ya Tatu 7.8kg na nilinyonyesha tu.hakuna shida yoyote pokea mwanao upambane nae duniani