Lakini hata mtoto akiwa na 2.2kg at 35 week bado una wiki nne au tano anauwezo mkubwa wa kuongezeka 200g per wiki ni kawaida sanaa by 40th wiki akawa na 3.2kg kawaida sanaa unless imediagonise tatizo lingine kutoka kwako linalo effect uzito wa mtoto.Unachosema ni sahihi lakn kwa hili naweza kuamini majibu haya ya utrasound
Maana hata tumbo langu sio kubwa
Mwanzo nilidhani labda ndio maumbile yangu maana ndio uzazi wa kwanza
samahani ni kutaka kujua zaid pia,,, mbona nilisikia maini sio mazur kwa mama mjamzito wanasema kuna ile nini sjui(wenye kuijua wanisaidie) inaitwa kiutaalam ni nying sana kwaio sio nzur kwa kiumbe!!?Ukisoma comments za members wengi hapa wamekusihi kuhusu kuzingatia lishe.
Inaonekana huli vizuri (mlo Kamili) ama umekuwa mvivu sana wa kula
Kwa kuwa upo mwishoni kuelekea kujifungua, almost wiki 3 ama 4 zijazo jitahidi kuboresha ratiba yako ya Kula bila kusahau muda mrefu wa Kulala.
Kwa Wazazi wajao, ni vyema mkajifunza kuwahi kufanya check up za mara Kwa mara ikiwemo kuangalia maendeleo ya mimba zenu Kwa wakati (Utra-sound)
Waambieni Waume/wapenzi wenu watenge fedha kwaajili ya kula yako hasa milo kamili kwaajili ya Afya Bora kwako kama Mama pamoja na mtoto aliye tumboni.
Sio vibaya kama Mume, kumtengea Mkeo/Mpenzi wako order maalumu ya Maini Kila Siku kwenye mlo wake (almost shilingi 200,000) Kwa Mwezi.
Maini ni muhimu sana Kwa Mama Mjamzito
Nashukuru sanaLakini hata mtoto akiwa na 2.2kg at 35 week bado una wiki nne au tano anauwezo mkubwa wa kuongezeka 200g per wiki ni kawaida sanaa by 40th wiki akawa na 3.2kg kawaida sanaa unless imediagonise tatizo lingine kutoka kwako linalo effect uzito wa mtoto.
Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu .
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35 .
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg
Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza uzito wa mtoto .
Maana Dr ananiambia kwa uzito huu ni hatarishi kwangu na mtoto pia
Naombeni ushauri wenu
Ahsantenii
Daktari huyo asikutishe wiki chache zilizopita mke wangu alijifungua mtoto wa kike wiki 39 kilo 2.5 na mtoto hana shida yoyoye panda kama una changamoto nyingine.Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu .
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35 .
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg
Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza uzito wa mtoto .
Maana Dr ananiambia kwa uzito huu ni hatarishi kwangu na mtoto pia
Naombeni ushauri wenu
Ahsanteni
Sio Daktari Kwa taaluma ila nafahamu umuhimu wa maini kwenye mlo wa Mama Mjamzito.samahani ni kutaka kujua zaid pia,,, mbona nilisikia maini sio mazur kwa mama mjamzito wanasema kuna ile nini sjui(wenye kuijua wanisaidie) inaitwa kiutaalam ni nying sana kwaio sio nzur kwa kiumbe!!?
Upo sahihi mkuuUkisoma comments za members wengi hapa wamekusihi kuhusu kuzingatia lishe.
Inaonekana huli vizuri (mlo Kamili) ama umekuwa mvivu sana wa kula
Kwa kuwa upo mwishoni kuelekea kujifungua, almost wiki 3 ama 4 zijazo jitahidi kuboresha ratiba yako ya Kula bila kusahau muda mrefu wa Kulala.
Kwa Wazazi wajao, ni vyema mkajifunza kuwahi kufanya check up za mara Kwa mara ikiwemo kuangalia maendeleo ya mimba zenu Kwa wakati (Utra-sound)
Waambieni Waume/wapenzi wenu watenge fedha kwaajili ya kula yako hasa milo kamili kwaajili ya Afya Bora kwako kama Mama pamoja na mtoto aliye tumboni.
Sio vibaya kama Mume, kumtengea Mkeo/Mpenzi wako order maalumu ya Maini Kila Siku kwenye mlo wake (almost shilingi 200,000) Kwa Mwezi.
Maini ni muhimu sana Kwa Mama Mjamzito
Sijui kama hiyo mimba ya kwanza ama ya ngapi...Upo sahihi mkuu
Miezi 4 ya mwanzo nilikua napata shida ya kupoteza hamu ya kula kabisa
Maana nilikua nikila chakula hata kidogo tumbo lilikua linajaa sana mpk nashindwa kuhema vzr yaan kama mtu aliuekimbia
So chakula changu kikuu ni maziwa pamoja na matunda
Wasiwasi wake tu mtoto atatoka vizuri ila ameshajua anatakiwa kufanya nini kama alivoshauriwa
Ahsante dearOndoa hofu dear. Mimi nilishauriwa kuwa makini na ninachokula maana kwanzia wiki ya 36 hadi 40 mtoto anakuwa kwa kasi ya ajabu sana. Hizo wiki mtoto anakuwa amemaliza kujiumba sasa ni kuongezeka ukubwa na kilo tu.
Wewe jitahidi kula kwa kiasi ukila sana utajifungua mtoto mkubwa hadi utashangaa.
anhaa,, asanteSio Daktari Kwa taaluma ila nafahamu umuhimu wa maini kwenye mlo wa Mama Mjamzito.
Of course maini hayatakiwi yawe mengi as wanasema Vitamin A ikizidi mwilini inaweza kuwa na madhara Kwa mtoto
Ndiyo maana Kwa bajeti niliyoweka hapo juu kwenye maoni yangu (shilingi 200,000) Kwa Mwezi ni wastani wa maini nusu kilo Kila Siku.
Anaweza kula Mchana kidogo na usiku kidogo
Hii ni ya kwanzaSijui kama hiyo mimba ya kwanza ama ya ngapi...
Muhimu ujirekebishe mimba zijazo
Lakini Kwa haraka, hilo suala la kupoteza hamu ya kula itakuwa imechangiwa na ulaji wako wa Chakula usiobadirika.
Jitahidi kubadirisha msosi
Unaweza kula ugali Samaki
Mlo mwingine ukala mtori wa nyama
Next time ukala wali maini n.k
Usisahau pia matunda ama juisi ya matunda kwenye Kila mlo
Kila la heri Mama Kijacho ππ
UNataka kuongeza Uzito wa mtoto kwenye Ujauzito wa wiki 35 Ambao ni 2.71 kg?Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa