Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 27,031
- 49,928
Watoto wanaozaliwa wadogo ndo huwa wanakuwa haraka nimeamini iliyokea kwangu pia mkuuHauna shida Wala usipanic kula vizuri na pumzika ,mtoto atazaliwa salama bila tabu yoyote
Mwanangu wa kwanza nimemzaa na kg 2.8,kalikuwa kadogo hadi niliogopa but he was ok
Saiv ni bonge la kijana,hadi mtaan wamempachika jina la bongenyanya
Kula sana mayai
Kuna mama Kei mmoja nilikuwa namuona
Vyema kama umejifunza ila usiache kuomba msaada nyumbani kwenu hasa Kwa Mama/Bibi/shangazi wangeweza kukushauri vyema juu ya ujauzito wako hasa kuhusu msosi/Kulala/kazi/mazoezi n.kHii ni ya kwanza
Katika safari ya ujauzito kuna mengi nimejifunza
Barikiwa 🙏🙏anhaa,, asante
Ina wezekana kweli alioverlookUNataka kuongeza Uzito wa mtoto kwenye Ujauzito wa wiki 35 Ambao ni 2.71 kg?
Uzito Normal kwa mtoto Wa week ya 35 Huwa ni 2.3kg mpaka 2.5 kg..
Nilifikiri Ungeanza kufanya jitihada za kupunguza Lishe unayokula ili usijifungue Big Baby??
Daktari aliyekushauri kwamba Kilo za mtoto Chache kwa umri wake maybe ali overlook..
Hizo kilo ziko sawa na zimepita Uzito wa Normal ya Mtoto..
So Kuwa na amani kabisa
Ahsante mpnz ninavyomsubiri kwa hamuSijui ni dokta gani mi nilijifungua week 36 mtoto wa 2.5 kg. vizuri tu ila kadogoo.clinic ya Kwanza siku 48 alikuwa na kg 5 .clinic ya pili 6kg ya Tatu 7.8kg na nilinyonyesha tu.hakuna shida yoyote pokea mwanao upambane nae duniani
Ni normal Sana..Ina wezekana kweli alioverlook
Ndio maana nimeleta hoja yangu kwa wataalam wengine wa afya wanisaidie
Maana kwa mujibu wa google iliniambia ni normal weight
Ushimen mkuuIle siku tulipo kutana nikajua weni Me kwa namna ulivyo kua umevaa pale mpirani.
Najua haukunitambua sema nilikutunza kama spare tyre..😊
Sema wedada una chamba hata left hand ikasome..😜
Uzito wa kawaida huo, asikutishe.Poleni na mihangaiko ya mchana kutwa
Ndugu Madaktari wa JF na wadau wote wa afya naomba msaada wenu.
Mimi ni mama mjamzito mimba yangu ina wiki 35.
Katika umri huu nimepima utra sound mtoto ana uzito wa kilo 2. 71kg
Swali langu kitu gani naweza kufanya kwa muda huu mchache uliobaki kuongeza uzito wa mtoto .
Maana Dr ananiambia kwa uzito huu ni hatarishi kwangu na mtoto pia
Naombeni ushauri wenu.
Ahsanteni
Kabisakwa uzito huo unazaa mtoto mzima tu.
Nakuja mwali, tulee na kufungua njia ya mtoto..😋Ushimen mkuu
Rudi nyumbn kilevi kimeshakuzidi
Ona sasa unachanganya madesa