chrstopher
JF-Expert Member
- Sep 28, 2020
- 275
- 558
nyosha maelezo mkuu unafikia eneo gani ?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ZuberiZimbo Hotel ipo Kariakoo
Mtu kama huyo hafai kuitwa nduguEnzi zimebadilika. Sio kila ndugu anapenda ukakae kwake ukiwa na mambo yako ya kikazi.... Kumbuka hilo.
Hapo kuna toto la kichaga lina minguu mizuri na lainiiiiiTukutane mtanzania hotel tandale [emoji3][emoji3] (joke)
Nenda buza hata hotel za 30k zipo ila buza kwa Mama kibongeHabarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
Rombo Green ViewRombo green view,shekilango.kuna room nzuri mpaka za 40000,pasafi pia
Mamilo Inn, Temeke. 40,000/=. Breakfast free. Check B10 JKIA.Habarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
This is a good joke.Habarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
Yaani rombo green view hapo Lego...imetulia sana na bei rafiki kabisa..Rombo green view,shekilango.kuna room nzuri mpaka za 40000,pasafi pia
Unaongea ivyo sio wewe Bali kahela uliko nako mfukoni ama uwezo wako ndio unaofanya unaongea ivyo. Let us assume uko at the Rock bottom umepanda Lori huna nauli,pakula huna huwezi ukatafuta. Hakuna Zama zilizobadilika bado human behaviors , emotions,needs and wants Ni zile zile tokea kuumbwa kwa dunia. Kwanza hii dunia na teknolojia tuliyo nayo iko chini mno compared of millions of years iliyopita. Soma history vizuri.Enzi zimebadilika. Sio kila ndugu anapenda ukakae kwake ukiwa na mambo yako ya kikazi.... Kumbuka hilo.
Jengo kwa nje tu.Yaani rombo green view hapo Lego...imetulia sana na bei rafiki kabisa..
Nikipata vichenchi vya betting naendaga kuchakatia pale....kishua flani...maana ni ghorofa...
Manzi anajua nnazo ...akisikia jina Hotel
Giraffe pale ule msululu wa wanawake nyakati za jioni si poa. Mimi Huwa napaona pa hovyo sana. Mamilo pametulia sana. Hakuna kelele kabisa. Rooms ziko poa.Jengo kwa nje tu.
Ni hotel ya hovyo, fenicha za zamani, mabafu yamechakaa.
Temeke kuna hotel safi kuliko hiyo.
Giraffe, vyumba vya 50k ni vizuri, Mamillo, JS (Chang'ombe Police) na Kilimanjaro mountain lodge (hii ipo maghorofani Tandika).
Hizo ni hotels za uswazi lakini zipo vizuri.
Hotels za kiswazi nzuri na safi utazipata Sinza, manzese na Temeke/Tandika.
Hotels za Ubungo, Kimara ni za hovyo sana.
Trust me, ukifika huta amini kama uko manzese.Manzese kumestaaribika siku hizi?
Wale wanaenda club, hawawezi kuingia pande za Hotel wanaishia restaurant na Club labda mtu aingize kutoka club ila hamna muingiliano kabisa na milango ipo tofauti.Giraffe pale ule msululu wa wanawake nyakati za jioni si poa. Mimi Huwa napaona pa hovyo sana. Mamilo pametulia sana. Hakuna kelele kabisa. Rooms ziko poa.
Habarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
Habarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
Manzese itabaki kuwa manzese tu!....hata uipake makeup toka uturuki!.....haiwezi kubadili nature!Trust me, ukifika huta amini kama uko manzese.