Cobrahypnosis
JF-Expert Member
- Jul 28, 2021
- 362
- 676
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Manzese itabaki kuwa manzese tu!....hata uipake makeup toka uturuki!.....haiwezi kubadili
Rombo imeanza kuchakaa hasa bafuni na vyooniRombo green view,shekilango.kuna room nzuri mpaka za 40000,pasafi pia
NdyoPale stendi ya tegeta?.
SioZuberi
Hataree sanaHapo kuna toto la kichaga lina minguu mizuri na lainiiiii
Utakapofanikiwa utupe mrejesho🙏Habarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
Mbokomu hii ya tandale uzuri km unaelekea manzese mashineni?[emoji1787]Mbokomu utaokoa na buku ya vocha.
Kamwala 3000 mpaka 5000.
Mrina,silver,na zinginezo Manzese yote ina HOTEL za hiyo bei nzuri tu room zao.Nenda Silver paradise iko manzese bei nadhani ina anzia 50,000 pazuri sana.
Mwidasy hotel pale Manzese darajani,unapata room nzuri tuHabarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.
Unaongea ivyo sio wewe Bali kahela uliko nako mfukoni ama uwezo wako ndio unaofanya unaongea ivyo. Let us assume uko at the Rock bottom umepanda Lori huna nauli,pakula huna huwezi ukatafuta. Hakuna Zama zilizobadilika bado human behaviors , emotions,needs and wants Ni zile zile tokea kuumbwa kwa dunia. Kwanza hii dunia na teknolojia tuliyo nayo iko chini mno compared of millions of years iliyopita. Soma history vizuri.
Ila naomba tukubaliane kuwa ukiwa na hela lugha unayoongea sio sawa sawa na lugha unayoongea ukiwa huna pesa.
Ama tuweke lugha za mtu akiwa na hela na akiwa Hana Hela
Hoteli kabisaa! Inaogooesha!Njoo Massawe hotel Ununio
Bei 8,000 kwa siku
Chai ipo, lunch , massage, Dinner
Ila sharti ni Moja tu uwe CCM na kazi yako
Kwa iyo wewe ndugu zako huwapendi uwasalimie mfahamiane ama Ni umasikini kujikomba kwa ndugu bure.Mbona mimi sio tajiri nina pesa ya kubangaiza tu ila naweza kumudu kulala hotel ya70k sio zaidi kwa wiki na nina ndugu dar wengi tuu wanao nipenda kupindukia na wanaishi downtown, nazungumzia mitaa ya msimbazi upanga karume na posta ya zaman but sijawahi kwenda dar nikalala kwao hua nipo radhi nikalale kigest house hata cha 15 ili nioge na kuweka mizigo yangu ila sio kwa ndugu, kama sina kitu kabsa heli nikalale kwenye maroli ya washikaji nikimaliza kufunga mizigo yangu kariakoo naondoka zangu na roli bila shida.
Kufikia kwa ndugu hua ni maamuzi ya mtu labda kama unashida ya afya au ni shida ya ghafla kama msiba and etc apo nakubal ila unaenda kwa mishe zako binafsi ambazo unaweza kuziplan kabla ya safari af useme shida ndo imekufanya ufikie kwa mtu iyo nakataa.
Vitanda vinazingua unless wamebadiliKagame hoteli nyuma ya ubungo plaza
Ila siku hizi rombo wanatakiwa waboreshe mabafu, yamechakaa na milango warudishe Kadi. Waboreshe customer care pale reception. Ila manager wao ana customer careRombo green view,shekilango.kuna room nzuri mpaka za 40000,pasafi pia