Msweet
JF-Expert Member
- Mar 26, 2014
- 3,135
- 4,306
Enzi zimebadilika. Sio kila ndugu anapenda ukakae kwake ukiwa na mambo yako ya kikazi.... Kumbuka hilo.
Watu wa Dar acheni kuwatelekeza ndugu zenu stendi
Watu wengi wanaoishi Dar es salaam wakipigiwa simu na ndugu zao wa mikoani, hawataki kusema ugumu wa maisha ulioko Dar es salaam badala yake wanasifu uzuri wa jiji na raha zilizoko kwenye jiji hilo namba moja nchini Tanzania. Kupelekea kuwafanya na ndugu walioko mikoani kutaka kufunga safari...
Kuna baadhi ya watu wamekuja na mapovu kibao kwenye hii comment niliyotoa... Wakati ndio uhalisia wa baadhi ya watu....
Haya .... Ushahidi wa kwanza huu hapa😂
Hii tabia imekuwa sugu; mtu anaamua tu aje Dar kukusalimia na afikie kwako
Hii tabia imekuwa sugu. Yaani mtu anakaa tu na halmashauri ya kichwa chake anaamua kuwa nimpigie jamaa yangu yupo Dar nikafikie kwake. Mi nipo zangu home jana inaingia simu ya Abouu. Ananiuliza maisha vipi namwambia safi tunalisongesha. Maneno maneno mengi mwisho anasema nipo Dar nataka nije...
Haya.... Ushahidi wa pili huu hapa😂😂
Afisa Ustawi wa Jamii Ubungo: Watu kutoka kanda ya ziwa wanaongoza kutelekezwa na ndugu zao Stendi ya Magufuli
Taarifa ni kwamba watu wengi wanaotoka mikoani kuja Dar es Salaam wamekuwa wakitelekezwa na ndugu zao stendi ya mabasi ya Magufuli, mamlaka za kituo hicho zimeamua kutangaza kwa kutumia Spika kuhusu ndugu ambao wanatelekezwa au wamekosa mwenyeji. MIKOA INAYOONGOZA KUTELEKEZA NDUGU ZAO STENDI...
Haya.... Ushahidi wa tatu huu hapa😂😂😂