Isengelo
JF-Expert Member
- Oct 25, 2017
- 539
- 925
Nenda SAFINA kijitonyama pametuliaHabarini kaka na dada zangu.
Naomba msaada wa Hotel nzuri hapo Dar. Budget yangu ni Tshs 40,000 mpaka 50,000 kwa night.
Natarajia kukaa week nzima hapo Dar es Salaam.
Vitu navyozingatia ni utulivu na usafi wa sehemu.
Asanteni kwa muda wenu.