Msaada wa Imani

Nasikitika kukwambia hujui kuhusu uislamu. Yeyote anaefahamu kuhusu uislamu basi hawezi hangaika na dini zingine.
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa mbona maelezo haya yanapishana na unachokiamini.

Nawewe haujui uislamu, au waislam wote hamuujui uislam maana mnahangaika na ukristo mpaka mnakonda.
 
Cheki huyu naye.wewe kweli rofa.

Ila hadithi tamu kuliko zote ni kukabws na mapepo pangoni, uliishasimuliwa hii???
Wacha kudanganya watu kuna hadithi tamu kama wimbo ulio bora? Ile ni ngono live.[emoji23]
 
Tatizo lako kuu ni UVIVU na uzembe kila jibu la swali lako lipo kwenye Bible huwezi isoma tulia acha papara

ANZA LEO KUISOMA UKIMALIZA SOMA TENA NATENA NATENA usipende kutafuniwa kila kitu
Weka jibu boss.maana wasoma biblia wenzio pia wanakuja na majibu tofauti.
 
[emoji3] [emoji3] kelele unazisikiaje kwenye maandishi wewe???

Swali lako limajibiwa ila hutaki jibu unachagua kama mama mjamzito anachagua maembe.
Heheheheh asanteee. jibu liko wapi? Kama huna jibu acha vijembe vya kike. Mara ngapi nikwambie kama huna majibu ya maswali yangu tulia chini utafakari? Unapelekwa kama ng'ombe?
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa mbona maelezo haya yanapishana na unachokiamini.

Nawewe haujui uislamu, au waislam wote hamuujui uislam maana mnahangaika na ukristo mpaka mnakonda.
Uislamu unatufunza kua ukijua jambo jema lifikishe kwa wenzio usikae nalo. Na tunapoona mtu anaabudu sanamu au mtu mwenzie lazima tuseme. Kama povu linakutoka tulizana jikoni upike
 

Porojo ndefu wakati Yesu mwenyewe anasema yeye katumwa.
 
Uislamu unatufunza kua ukijua jambo jema lifikishe kwa wenzio usikae nalo. Na tunapoona mtu anaabudu sanamu au mtu mwenzie lazima tuseme. Kama povu linakutoka tulizana jikoni upike
Taarab asili yake ni pwani kwenye waislam.sishangai.

[emoji57] tulizana jikoni upiiike[emoji12] [emoji12]

Wewe muislam uwe na jambo jema kwa mkristo kutoka kwenye quran????HAINA JAMBO JEMA zaidi ya BIBLE hiyo gazeti. labda kuunguliwa na nyumba.
 
Kama waislam mnampenda YESU na kumfuata mafundisho yake, [HASHTAG]#swali[/HASHTAG],
Ni muislam yupi duniani amewahi kumpokea na kumkiri YESU kuwa mwokozi wa maisha yake? Sasa mwampendaje au mwamfataje pasipo kumpokea, au unamaanisha kusoma mafundisho yake kama gazeti,?
YESU unampendaje pasipo kupenda anayoyaagiza uyatende? Kama ungelikuwa unafuata mafundisho yake haikuwepo haja ya kupost, OK mmshindwa kujua Kama ni mwana wa mungu, kwanni hamsomi habar za manabii waliotabiri ujio wa YESU, miaka million kabla yake.
YESU alibatizwa, YESU alishiriki meza ya bwana
YESU alimpokea roho matakatifu, mna sababu gani za kutotimiza hayo yote kama mnampenda, sisi kwa jina la YESU tunatoa mapepo, tunaachilia uponyaji kwa wagonjwa, tunawafungua waliotekwa na nguvu za giza kwa jina na damu yake YESU, nyinyi mna nni juu ya jina lake, au walio watafsria kitabu kitakatifu ndio waliowakosesha neema hii?
Kwa Quran mnampiga mtu mapepo, sisi kwa Bible tunayatoa kwa jina la YESU. Jina leny mamlaka, uponyaji, nguvu, uzima na lililobeba utukufu wa MUNGU.

Ukielewa hii wala husijibu chochote
 
Yesu ni BWANA,Yesu ni MUNGU, na kila goti litapigwa kwake,na kila ulimi utakiri kuwa YESU NI MUNGU,asante
Hebu nipe andiko ambalo Yesu yeye mwenyewe anasema kua ni Mungu. Au sehemu yoyote ambayo Yesu anasema wamuabudu Yeye.
 
Porojo ndefu wakati Yesu Umwenyewe anasema yeye katumwa.
Hilo ni neno pekee ambalo MUNGU amekufungulia ufahamu wako, ukaweza kulitambua, kwanni hujiuliz nan alimtuma na kwa sababu gani alitumwa? Au unajifunza ku-quote?
 
Kwa nijuavyo mm tofauti ya mwanadamu mwingine yyte.Yesu aliishi mbinguni akiwa kiumbe wa roho kabla ya kuzaliwa hapa duniani soma yoh 8;23
 
Unabisha kwasababu humtambui Roho mtakatifu na kazi zake.Biblia inasema wote wanaoongozwa na Roho ndio wana wa Mungu.
 
Nyie watoto wa kijakazi bi hajr,n kwanni hamlali, hsmpumui wala humtulii juu ya YESU? Nyie itumikieni miungu yenu siku ya hukum ndo mtaelewa ni nani atayeuhukum ulimwengu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…