mkorinto
JF-Expert Member
- Jun 11, 2014
- 31,415
- 38,761
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] sasa mbona maelezo haya yanapishana na unachokiamini.Nasikitika kukwambia hujui kuhusu uislamu. Yeyote anaefahamu kuhusu uislamu basi hawezi hangaika na dini zingine.
Nawewe haujui uislamu, au waislam wote hamuujui uislam maana mnahangaika na ukristo mpaka mnakonda.