Sagungu 1914
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 938
- 581
kwakuwa mmeshinda kesi ya msingi juu ya umiliki na yeye hajafanya chochote kusitisha amri ya maamuzi hayo.Ndugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji.
Tukachukua maamuzi ya kwenda kufungua shauri la ardhi kwenye baraza la ardhi la kata ambapo katika shauri lile la usuluhishi baraza lilimuamuru apishe katika kiwanja na tukarudishiwa.
Sasa Cha ajabu anakataa kutoka na anasema humo ndio hatoki tuende kokote. Naomba ushauri wenu wa kisheria Nini Cha kufanya baada ya hapo.
Asante.
Muda wa rufaa umeisha pita tayar.Subirini muda wa rufaa upite asipo kata rufaa mtoe taarifa Baraza la kata wao watajua chakumfanya.
Baraza la kata kwa sasa halina nguvu kama zamani bali wamebaki ni usuruhishi tu,hivyo kama imeshindikana kafungue kesi baraza la ardhi la wilaya na utaambatamisha barua kuwa mgogoro umeshindwa kutatuliwa baraza la kataNdugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji.
Tukachukua maamuzi ya kwenda kufungua shauri la ardhi kwenye baraza la ardhi la kata ambapo katika shauri lile la usuluhishi baraza lilimuamuru apishe katika kiwanja na tukarudishiwa.
Sasa Cha ajabu anakataa kutoka na anasema humo ndio hatoki tuende kokote. Naomba ushauri wenu wa kisheria Nini Cha kufanya baada ya hapo.
Asante.
Hiyo barua nitaitoa wapi?Baraza la kata kwa sasa halina nguvu kama zamani bali wamebaki ni usuruhishi tu,hivyo kama imeshindikana kafungue kesi baraza la ardhi la wilaya na utaambatamisha barua kuwa mgogoro umeshindwa kutatuliwa baraza la kata
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Watakupa Baraza la kataHiyo barua nitaitoa wapi?
Mtoa hoja ,jibu hili ndio sahihi maana Nami nimeshawahi kuwa shuhuda, baraza la ardhi la kata halina uwezo wa kisheria kuhusu masuala ya ardhi, chukua vielelezo vyako vyote including offer au barua mlioandikiana na muuzaji wa hiyo ardhi uende wilayani,good luckBaraza la kata kwa sasa halina nguvu kama zamani bali wamebaki ni usuruhishi tu,hivyo kama imeshindikana kafungue kesi baraza la ardhi la wilaya na utaambatamisha barua kuwa mgogoro umeshindwa kutatuliwa baraza la kata
Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
Unachotakiwa kukifanya ni beba uamuzi huo wa baraza ka kata kisha nenda baraza la kata la wilaya na uombe kukazia hukumu, uyo ataondolewa kwa nguvu tu wala msiwaze. Kama haujui utaratibu nenda huko huko baraza la ardhi wilaya watakwambieni.
Asante ndgUnachotakiwa kukifanya ni beba uamuzi huo wa baraza ka kata kisha nenda baraza la kata la wilaya na uombe kukazia hukumu, uyo ataondolewa kwa nguvu tu wala msiwaze. Kama haujui utaratibu nenda huko huko baraza la ardhi wilaya watakwambieni.
Mabaraza ya nn iwapo mna nyaraka na mlimpa tu hifadhi? Chukua polisi weka gari mafuta mtoe. Yeye ndo akatafute haki kwenye mabaraza. Unless nyinyi ndo wanyang'anyi.
Hahaha ni kweli, amalizie tu.Kuna mjinga alivamia eneo langu huko Bk wakati nina nyaraka zote na zimenyooka
Nikataka kwenda kumshtaki barazani
Mzee mmoja akaniambia ukienda huko mtasumbuana sana hadi kupata haki zako
Akanishauri niende polisi nimevamiwa
Akavamiwa yeye na polisi atoke kama ana ushahidi aende mabarazani au mahakamani yeye
Aliondoka mwenyewe
Kwasababu jamaa kashaanza kwenda yeye inabidi apeleke hiyo nakala ya uhukumu baraza la wilaya akakaziwe hukumu
Nyiefanyeni ujenzi kama mnaweza jengeni ukuta na muweke mlinziNdugu wanajamii naomba msaada wenu wa kisheria, kuna jamaa tumepelekana kwenye baraza la ardhi la kata baada ya kung'ang'ania kwenye kiwanja Cha familia hii ni baada ya yeye kuja kuomba kukaa pale Kwa muda, tulipo taka kwenda kujenga akakataa kuwa kile kiwanja ameisha pewa na serikali ya Kijiji.
Tukachukua maamuzi ya kwenda kufungua shauri la ardhi kwenye baraza la ardhi la kata ambapo katika shauri lile la usuluhishi baraza lilimuamuru apishe katika kiwanja na tukarudishiwa.
Sasa Cha ajabu anakataa kutoka na anasema humo ndio hatoki tuende kokote. Naomba ushauri wenu wa kisheria Nini Cha kufanya baada ya hapo.
Asante.
Kakazie hukumu?Muda wa rufaa umeisha pita tayar.