Mwakitombeo
Member
- Jun 29, 2021
- 59
- 73
Mwaka 2019 mwezi wa tano nilibahatika kuzaa na binti mmoja ambae nilimpenda sana ila tulikuja kushindwana baada ya kuwa na tabia za kiswahili na kuwa mtu wa starehe yale maisha yalinishinda tukatengana.
Nikawa natoa huduma za mtoto kipindi yupo kwao kitu kilicho nifanya mpaka naandika uzi huu namuonea huruma mwanangu kwani mama yake amekua mtu club anarudi amelewa akienda club mtoto anamuachia mdogo wake wa kiume kinacho niuma kuna siku nime mweleza ukweli akanitumia meseji kuanzia leo tusijuane mtoto alietuunganisha amesha fariki niliumia sana sijui alifikilia nini kunitumia meseji kama iyo.
Mwanangu nimefanana nae sana je sheria inasemaje nataka kumchukua mwanangu nimlee mwenye we kwa nazingira anayolelewa na mama yake sio salama wajuzi wa sheria mje mnisaidie kijana mwenzenu.