Msaada wa kisheria namna ya kumfikisha mahakamani Waziri Mkuu mstaafu aliyekwapua pesa za Richmond

ww utakuwa msukuma, eti kumutupa,nitamufikisha ww lowasa ajahusika kwenye madini,richmond sio madini
Naona unanishambulia kwani ukiwa msukuma unakosa haki ya kuyafungulia kes mafisad
 
Kajiabisha bure huyu jamaa,
ndo tatizo la kutosoma,yaani unakuwa unarukia tu ukidhani umepatia kumbe wapi.
In short kijana nanyupu hakuna kitu kinaitwa pesa za Richmond..
Umechemsha..
 
Mfupa uliomshinda fisi wewe panya utauweza wapi? Hilo haliwezekani, hata mamlaka husika zimepiga faint, wachana nalo, watu kwa sasa tunawaza jinsi ya kuwashughulikia Acacia wezi wa mchana, jiunge nasi!
 
Corruption Court Ipo
Muhimu Fuata Utaratibu Tu
 
Mimi bandidu zaid ya anco magu
CCM ndiyo imetufikisha hapa. Si unamuona bwana yule mweny roho mbaya mpaka kafuta ajira, na sasa hiv anakula rambi rambi za watu.
Itakuwa vizuri sana, miaka inayokuja lazima nifanye vugu vugu tupate katiba mpya na tume huru. Ili kuwakomesha watu wanaojifanya miungu watu
 
nyie ndio mnao dangqnywa kuwa Richard + monduli= Richmond,wakati Richmond ni mji uko usa
 
Nenda mahakama ya Mafisadi ukiwa na ushahidi 'Wanakusubiri kwa hamu'
 
Unacgejesha ndugu.Jamaa aliondoka kabla ya dili kutiki ila waliobaki huko ndo walilamba kila kitu wakaishia kupiga kelele za mwizi mwizi! Kwa hiyo kabla hujathubutu angalia usje kuwa unatafuta ki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…