Msaada wa kisheria namna ya kumfikisha mahakamani Waziri Mkuu mstaafu aliyekwapua pesa za Richmond

Msaada wa kisheria namna ya kumfikisha mahakamani Waziri Mkuu mstaafu aliyekwapua pesa za Richmond

Mleta mada mbona umejaza nzi huko manyu vipi huna maji ya kutawadha? Usiwe unakurupuka choon na kuvamia smartphone paka shume weye
 
CCM NDIYO IMETUFIKISHA HAPA. Ni vizuri kijana wangu. Nenda kweny mahakama ya mafisadi ila usisahau kumshitaki pia yule bwana mwenye roho mbaya kuliko viongozi wote tz
1. Aliyefuta ajira
2. Kafuta increment
3. Kaongeza makato ya helsb 15% bila ridhaa ya watu
4. Kala rambi rambi
5. Kamwacha fisadi wa elimu Bashite
6. Aliuza nyumba za serikali
7. Kafuta fao la kujutoa
Alinunua meli mbovu akaikabidhi jeshi akaanza kututishia, (Eti mnaoendelea kuijadili hii meli jueni mnajadili manuari ya kijeshi na jeshi haijadiliwi)
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwA katika bwana naomba msaada wa kisheria ni njia gan au jinsi gan nitamufikisha mahakama mwizi mkubwa wa richmond

Fisad huyo ambaye kwa namna.. moja ama nyingine ndo katufikisha hapa tulipo

Naomba wajuvi wa sheria mnisaidie niweze kumutupa lupango huyu jiz kubwa aliyesaini mirad ya wiz wa madin ambaye kwa sasa alikimbilia upande wa pili kisa na chanzo kikiwa ni uroho wa madaraka
Jaribu kwanza Kumpeleka Baba yako na Mama yako Mahakamani kwanzaa kwa Kuzaa Kijana mpumbavu kama wewe
 
Back
Top Bottom