Msaada wa kisheria namna ya kumfikisha mahakamani Waziri Mkuu mstaafu aliyekwapua pesa za Richmond

Wacha nipige madili now, baadae ntahamia kule najua ntasafishwa haijalishi mchafu kiasi gani.
 
ka muulize mwakyembe kwann aendi kumshitaki kutwa anapiga kelele tu
 
Kumbe una miaka 25?Hongera kijana
This is to say, wakati ule tunahangaika na mgao mkali Wa umeme uliozaa Richmond huyu dogo alikua na miaka 14.. Yaani ndio alikua darasa la 6/7..!! Leo kapata Smartphone anataka kumshtaki mzee Ngoyai?
 
Kijana Nitakupataje Nikupe Ulaji? Mana Kwa Akili Hizi Tz Kuendelea Ndoto, Kumbukeni Kuna Maisha Baada Ya Siasa. Unasema Fisadi? Mahakama Ndio Chombo Pekee Cha Kutoa Haki Na Si Vingnevyo. Wanadamu Tuishi Tukijua Pamoja Na Yote Ila Mwisho Hufanana.
 
Hiyo haijalishi mkuu lakin ukweli mzee wenu ngoyai ni jiz kubwa
 
Kijana Nitakupataje Nikupe Ulaji? Mana Kwa Akili Hizi Tz Kuendelea Ndoto, Kumbukeni Kuna Maisha Baada Ya Siasa. Unasema Fisadi? Mahakama Ndio Chombo Pekee Cha Kutoa Haki Na Si Vingnevyo. Wanadamu Tuishi Tukijua Pamoja Na Yote Ila Mwisho Hufanana.
Maisha niliyo nayo si ya mchezo mchezo watu kama nyie kwangu ni wasomba mabox ya video na dek dukan kwangu
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwA katika bwana naomba msaada wa kisheria ni njia gan au jinsi gan nitamufikisha mahakama mwizi mkubwa wa richmond

Fisad huyo ambaye kwa namna.. moja ama nyingine ndo katufikisha hapa tulipo

Naomba wajuvi wa sheria mnisaidie niweze kumutupa lupango huyu jiz kubwa aliyesaini mirad ya wiz wa madin ambaye kwa sasa alikimbilia upande wa pili kisa na chanzo kikiwa ni uroho wa madaraka
Hao wanaume zako wameshindwa utawezaje wewe mtoto si riziki
 
Maisha niliyo nayo si ya mchezo mchezo watu kama nyie kwangu ni wasomba mabox ya video na dek dukan kwangu
ok kijana mimi nitakusaidia kurekebisha mashitaka,mimi kitaluma ni wakili ntakusaidia hii case kwa gharama ndogo sana,

kwani uko wapi tukutane tupange mkuu..
Ila usimwambie mtu yeyote kuwa unaenda kukutana na mwanasheria,iwe siri yako
 
6267b4153d706973590d3a7ca0daf6db.jpg
nafikili mmoja kati ya hawa atakupa ushahidi na atakusaidia kwa kiasi kikubwa. Ova
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwA katika bwana naomba msaada wa kisheria ni njia gan au jinsi gan nitamufikisha mahakama mwizi mkubwa wa richmond
Acha kihere here.
Una uwezo wa kugharamia kesi? Usually kabla ya kufungua kesi ya madai lazima uweke kiasi fulani cha pesa. Say milioni kumi hadi hamsini then kesi ndio inaanza kuunguruma.
Ukishindwa hiyo kesi utagharimia kulipa gharama za kesi pamoja na kumlipa mshtakiwa gharama zake zote alizotumia kushinda kesi... Kwa hiyo ujipange maana najua huna ushahidi wa kutosha kumtia hatiani mtuhumiwa.
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwA katika bwana naomba msaada wa kisheria ni njia gan au jinsi gan nitamufikisha mahakama mwizi mkubwa wa richmond

Fisad huyo ambaye kwa namna.. moja ama nyingine ndo katufikisha hapa tulipo

Naomba wajuvi wa sheria mnisaidie niweze kumutupa lupango huyu jiz kubwa aliyesaini mirad ya wiz wa madin ambaye kwa sasa alikimbilia upande wa pili kisa na chanzo kikiwa ni uroho wa madaraka
Andaa furushi la matusi,kejeli na mengineyo mengi kutoka kwa nyumbu wasioona,sikia juu ya malaika wao ambaye muda si mrefu alikuwa shetani wao
 
Kwanza suara lirudishwe tena bungeni likafumuliwe upya na ukubali kuwa litaibuka na mataka taka ya wengi ndipo uanze nalo sahz hapo unachkijua ww n kma kitone tu ndani ya bahari sham!!!
 
Huyu mtoa mada atakuwa ndugu yake Mtemi wa ACU Deo Kisandu
 
Wewe Nanyupu, ivi hujui kuwa ripoti ya Mwakyembe ilisomwa Bungeni na huyo unayesema kakufikisha hapo ulipo alionekana hana hatia, sasa utamshtaki kwa lipi?.Anyway,msaada wa kisheria nenda kwa Mwakyembe si ni mwanasheria..
 
Aman ya bwana iwe nanyi wapendwA katika bwana naomba msaada wa kisheria ni njia gan au jinsi gan nitamufikisha mahakama mwizi mkubwa wa richmond

Fisad huyo ambaye kwa namna.. moja ama nyingine ndo katufikisha hapa tulipo

Naomba wajuvi wa sheria mnisaidie niweze kumutupa lupango huyu jiz kubwa aliyesaini mirad ya wiz wa madin ambaye kwa sasa alikimbilia upande wa pili kisa na chanzo kikiwa ni uroho wa madaraka
Usisahau kumfungulia mashtaka na yule aliyehonga nyumba za serikali kwa hawara zake na kununua kivuko cha bagamoyo kibovu kwa ufisadi mkubwa sana
 
Back
Top Bottom