Msaada wa kisheria namna ya kumfikisha mahakamani Waziri Mkuu mstaafu aliyekwapua pesa za Richmond

Fukua Makaburi
 
Wapitie akina Lissu na Chadema, wakupe zile data walizokuwa nazo, zilizowapa nguvu ya kumuweka kwenye Tovuti yao kama LIFISADI NUMBER ONE. Wakikupa hilo na umuajiri LISSU kama wakili wako, basi utamfunga huyu fisadi.

Lissu akikuringia unaweza kumshitaki TLS
 


Huwezi kumushitaki Lowassa bila Kikwete. Pigania katiba ibadilishwe ili wote wawili wawekwe kizimbani kwa kuhujumu uchumi wa Watanzania millions 55
 
Ushaid ninao ripot nzima ya makwembe nimeipitia
Sasa msaada unaotaka ni UPI au akili yako imejaa uji uji maana ushahidi unao Na we we ni mtanzania,go go to the court,ila angalia usije ishia hukohuko usirudi ten kitaa.
 
Haya ni mawazo ya chooni wakati unasukuma divi.
 
Akili zilizochoka kuongoza huwa ziko hivi hivi yaaani.....
 
Huo ni mfupa uliomshinda fisi achana nao ndugu.. Huna locus standi
 
Tatizo siyo yeye anayejua mchongo wote ni DHAMBI Mwakyembe aliyeficha hadharani. Mm ningependa amwage mboga tu
 
ok kijana mimi nitakusaidia kurekebisha mashitaka,mimi kitaluma ni wakili ntakusaidia hii case kwa gharama ndogo sana,

kwani uko wapi tukutane tupange mkuu..
Ila usimwambie mtu yeyote kuwa unaenda kukutana na mwanasheria,iwe siri yako
Home kwangu ni igoma hapa ndama biashara ni mjin rwagasore mjin mwanza
 
Andaa furushi la matusi,kejeli na mengineyo mengi kutoka kwa nyumbu wasioona,sikia juu ya malaika wao ambaye muda si mrefu alikuwa shetani wao
Matus yao kwangu wala hata hayanitishi
 
Hivi kati ya waziri mkuu na Rais nani boss wa mwenzie je inawezekana waziri Mkuu akafanaya Jambo Rais akawa ajui
 


!
!
Kiroporopo wa kukurupuka aliahidi mahakama ya Mafisadi katika nchi ya dang andika. Subiri subiri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…