chief_mtemi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 529
- 121
Hivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo sana kiasi cha kushindwa kulipuliwa coil zote zinavuta risasi vyema paka chemba lakin kwenye kulipua ndo shida na hili tatizo limeanzasi muda mrefu hasa nimegundua nilipokuwa shamba kwaajiri ya kupiga risasai kadhaa katika testing ya kawaida mwenye idea pls
