Msaada wa kitaalamu kwa bastola ya Browning 9mm

Msaada wa kitaalamu kwa bastola ya Browning 9mm

Bunduki yako itakuwa na mojawapo ya shida hizi:
1. Primer ( hope ni centrefire ammo) inaweza kuwa hai-ignite kwa kutoa sparks thru primer hole kwenda kuwasha gunpowder. Hii haina ujanja ikiwa primer ndio tatizo ni kununua ammo nyingine tu

2. Firing pin head imepungua urefu wake(tear and wear) labda kwa kutu, kugongwa kiasi kuwa hata hummer ikigonga msumari bado nguvu ya kugusa primer haitoshi (not at threshold)

3. Uchafu, jaribu kulainisha kwa kutumia gun oil ama kibongo bongo oil no 40. Hasa sehemu za firing pin hole, ejector n extractor!

4. Gunpowder kuwa expired, hata iweje haiwaki. Dawa ni kununua ammo mpya tu

Naimani tatizo lako litakuwa lmekwisha mkuu

Mkuu umeeleza kitaalamu sana,mia
 
Nina RPG yangu kila nikiwa naitest shambani kuwalenga ndege haifyatuki. Mwenye ujuzi wa RPG aina ya manatitata ya kichina tafadhari anisaidie.
 
Back
Top Bottom