chief_mtemi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 529
- 121
- Thread starter
- #21
Mchina fake!!!!!!!!
kuna wengine usiwafanie masihara dogo watu wapo serious,mchina anatoa browing au ilimradi umezungumza tu kujifurahisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mchina fake!!!!!!!!
mkuu amia kwenye Glog utasahau hayo mambo ya misFire.View attachment 110877
ipeleke tanganyika army mkuu watakutatulia tatizo lake me mwenyewe yangu ilikuwa hata ukipiga mtu haiuwi mtu wakanipa sumu ya kuulia:smile-big:
mkuu namiliki kihalali if nt privacy ningeattach lesen polisi nilishawaona tatizo nao utaalamu wa haba wakaniambia niwapekee tool box wamekaa nayo wiki mwisho wakaniambia nirudi tanganyika ammy nilikonunua wao wanamfundi kwao wa kwao wanakuja kwa order maalumu ama waliniambia nisubiri paka dec sasa jf tuna wataalamu mbalimbali ndo maana nimeleta huu uzimwazoni waliniambia inaweza kuwa batch ya risasi nilizonunua utovu wake ndo kimeo nimebadili risasi bado tu
Kama huta maindi kiviiiile , ikate kitako uone mziki wake....yaaani ni mwendo wa :laser:😛ainkiller:
Mkuu kama Tanganyika Army wanakosa fundi mpaka Dec basi inatisha. Nadhani wengi wameshatoa ushauri wa kupeleka kwa fundi, sina la kuongeza. Pole mkuu, natumaini suluhisho litapatikana haraka... 🙂
Chukua pensil yenye kifuto. Tumbukiza upande wa kifutio kwenye mtutu huku ukiangaliza pistol kwa juu. Piga uangalie kama kalamu inaruka juu na uangalie mark inayobaki kwenye raba utapata jibu
thnks mkuu.najua misfire nikitendo silaha kushindwa kushoot sasa yangu ile firing pin namaanisha ile pin inayochoma risasi ikifaile ukiangali risasi imegongwa kidogo sana utafikir imekwaruzwa tu na sindano na inatupa bullet kama kawa baada ya trigger comand sema ndo hai shoot
Chukua risasi unazohis ni misfire na ujaribu kwa bastola nyingine uangalie matokeo. Je, bastola yako imeshapiga risasi hata moja? Kama ndio basi ni industrial problem. Inaweza kuwa na firing pin fupi au soft inayoisha mapema. Pia test double reconnection. Kama haifanyi ni tatizo la kiwandani.
Ni vizuri umeng'amua hilo mapema.....maanake ingekutia aibu mbele ya mke na watoto siku majambazi wangekuvamia...!
Nakumbuka miaka mitatu au minne iliyopita kule Mbagala kuna mwanajeshi mstaafu yalimfika mauti baada ya kutoa bastola na kuwaweka majambazi chini ya ulinzi......lakini kwa mbwembwe zake alitaka kum-shoot mmoja kama demo....sasa badala ya kutoka risasi kwa kishindo.....likatoka vumbi.......duh walimgawana kama mbwamwitu.....!
Bunduki yako itakuwa na mojawapo ya shida hizi:
1. Primer ( hope ni centrefire ammo) inaweza kuwa hai-ignite kwa kutoa sparks thru primer hole kwenda kuwasha gunpowder. Hii haina ujanja ikiwa primer ndio tatizo ni kununua ammo nyingine tu
2. Firing pin head imepungua urefu wake(tear and wear) labda kwa kutu, kugongwa kiasi kuwa hata hummer ikigonga msumari bado nguvu ya kugusa primer haitoshi (not at threshold)
3. Uchafu, jaribu kulainisha kwa kutumia gun oil ama kibongo bongo oil no 40. Hasa sehemu za firing pin hole, ejector n extractor!
4. Gunpowder kuwa expired, hata iweje haiwaki. Dawa ni kununua ammo mpya tu
Naimani tatizo lako litakuwa lmekwisha mkuu