HP1
JF-Expert Member
- Feb 4, 2012
- 3,362
- 878
Waheshimiwa naomba kujuzwa taratibu za kumiliki Pistol kihalali, na aina nzuri ya pistol. CC Jerrymsigwa, chief_mtemi, saragossa, Dingswayo, na wajuzi wengine.
Last edited by a moderator:
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera mkuu, hayo mambo huwa yanatokea mda mwingine hata hujatarajia. Pia unapoitunza hakikisha
1. Hufungi ktk nylon(zero ventilation)
2. Weka ktk diary yako siku za kuifungua na kuisafisha mfano kila juma2 ya kwanza ya mwezi
3. Chek ikiwa expiry date zinakaribia ili upate kujua lini unatakiwa kutotumia tena
4. Kwa sheria ya Tz unaruhusiwa kuwa mpk silaha 3 tofauti, kama waweza tafuta pump-action shotgun nzuri sana kwa self defence ikiwa uko home tu. So ukiwa na s/gun 1, pistol na moja kati ya .458, .30-06 au .375 tosha sana.
Kila la kheri mkuu
Pole mkuu
Zingatia sana usafi na.kama hivyo hukuwepo muda mrefu then it was a must kuisafisha kwa kutoa slide kabisa!!!!!!
Avoid pia dry fires unapotoa risasi baada ya kuwa hauko katika aura unaposqueeze trigger zuia hammer ili isipige firing pin,hii sio nzuri kwa maisha ya pin husika!!!!
Waheshimiwa naomba kujuzwa taratibu za kumiliki Pistol kihalali, na aina nzuri ya pistol. CC Jerrymsigwa, chief_mtemi, saragossa, Dingswayo, na wajuzi wengine.
Naomba kujua madhara ya kuhufadhi gun kwenye nylon?na risasi je Jerrymsigwa
thanks mkuu pia nilianza na shortgun kabla ya huku ukweli naikubali sana shortgan japo sio semi autokama unaspeed nzuri ya pumping adui ngumu kujua shortgun na haijawai nizingua hata siku moja na jana nimeosha zote leo shamba nimejaribu zote shwari kabisa sema sikuona digidigi tu
Waheshimiwa naomba kujuzwa taratibu za kumiliki Pistol kihalali, na aina nzuri ya pistol. CC Jerrymsigwa, chief_mtemi, saragossa, Dingswayo, na wajuzi wengine.
mkuu amia kwenye Glog utasahau hayo mambo ya misFire.View attachment 110877
Ni tatizo la kawaida kwa hizo bastola. Nenda Tanganyika arms watakuchongea nyingine au pale karakana ya polisi kilwa road. Pia epuka tabia ya kuvuta trigger wakati chamber iko empty. Tabia ya namna hiyo ikirudiwa mara kwa mara huwa inaharibu firing pin.
Sawa mtemi, vizuri ukapata double barrel kwa vile ina trigger mbili so unakuwa na guarantee. Nikusahihishe kidogo mkuu, sio shortgun ni shotgun ikiwa na maana ni muunganiko wa neno shot+ gun. Shot ikimaanisha zile goroli(marisaa) ambazo hutumika kama risasi, gun=bunduki. Asante mkuu
Hongera mkuu, hayo mambo huwa yanatokea mda mwingine hata hujatarajia. Pia unapoitunza hakikisha
1. Hufungi ktk nylon(zero ventilation)
2. Weka ktk diary yako siku za kuifungua na kuisafisha mfano kila juma2 ya kwanza ya mwezi
3. Chek ikiwa expiry date zinakaribia ili upate kujua lini unatakiwa kutotumia tena
4. Kwa sheria ya Tz unaruhusiwa kuwa mpk silaha 3 tofauti, kama waweza tafuta pump-action shotgun nzuri sana kwa self defence ikiwa uko home tu. So ukiwa na s/gun 1, pistol na moja kati ya .458, .30-06 au .375 tosha sana.
Kila la kheri mkuu
ninyoshe mdada hahahahahaaaa...daaa
we umepinda
Mkuu sina kumbukumbu sana na procedure za kumiliki dah ninasahau siku nyng nimesoma kipindi nikiwa chuo-it was just for exam!
Lakini kuna mlolongo mrefu kuanzia mtaani kwako baraza la usalama la mtaa,kitongoji,kata,wilaya,mkoa/jiji na mwisho huwa ni baraza la usalama la taifa ndipo unaweza pewa go ahead kununua.
Aina za Bunduki nzuri una maanisha nini? uzuri wa shabaha ama portability?Kiufupi tu unaposikia Browning 9mm ina maanisha kuwa hiyo ni bunduki yenye brand ya Browning na ukubwa wa kipenyo cha mtutu (kwa ndani) au kwa kizungu wanaita bore ni milimita 9. Hiyo ni kubwa sana tu navyojua hiyo haipit kwa bore ya SMG,AK47,LMG ambazo hizi zote zinatumia risasi yenye upenyo wa 7.62mm so unaweza ukacompare ukaona jinsi risasi ya hiyo pistol ina kipenyo kikubwa. Ingwa haimaanishi kipenyo pekee ndio factor ya muhimu ama kusema inaizid SMG et al, noooo!! isipokuwa inakuwa na mshindo mkubwa pia impact to the target inakuwa kubwa kulinganisha na shorter diameter pistol.
Specifications ziko nyingi isipokuwa nimekupa hiyo ambayo huenda wengi ndio wanaangalia, kwani kuna pistol za 6mm pia nk
Soma kwanza AMRI 10 za bunduki na uelewa kabla hujafikiria kuwa na bunduki
mkuu kwanza kabla ya yote inabidsi uwe na sababu ya msing kwann unataka kumiliki silaha una nn hasa cha kuishawishi kamati ya ulinzi na usalama kuanzia ya wilaya mkoa paka taifa ukiwana iyo sababu jenga mausiano mazuri sana na hiyo serikali ya mitaa maana unaanzia huko nao huwa wanafuatwa kisiri kabla ya wewe kuitwa na kuhojiwa ukiwa poa unaweza ni pm nikupe proceedures japo kuna wanaosema kuna short cuts kwangu sipendi maana mambo yenyewe ya sasa yamechafuka unaweza fumua ubongo wa mtu then mwishowe nawe unakuwa mtuhumiwa
Asante mkuu. Sababu ni za kiusalama. Ninamiliki nyumba, vigari vichache na vimiradi. Vibaka huwa wanajaribu kutembelea hizo sehemu kwa hiyo sio mbaya kuwa na kimguu cha kuku walau kuwakimbiza kwa kupiga hewani

Basi bhana demu wako simtaki tena!kumbe unamiliki mtambo kurushia vitu vyenye ncha kali!Hivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo sana kiasi cha kushindwa kulipuliwa coil zote zinavuta risasi vyema paka chemba lakin kwenye kulipua ndo shida na hili tatizo limeanzasi muda mrefu hasa nimegundua nilipokuwa shamba kwaajiri ya kupiga risasai kadhaa katika testing ya kawaida mwenye idea pls
Basi bhana demu wako simtaki tena!kumbe unamiliki mtambo kurushia vitu vyenye ncha kali!