UGOKO MKAVU
JF-Expert Member
- Jul 20, 2013
- 202
- 78
Mpe mtu yeyote ashike halafu wewe simama kwa mbele,mwambie atest kushoot huku ukimwangalia,ikilipuka mwambie akuelekeze amefanyaje!!!!
ha haaaa, mkuu umenichekesha sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpe mtu yeyote ashike halafu wewe simama kwa mbele,mwambie atest kushoot huku ukimwangalia,ikilipuka mwambie akuelekeze amefanyaje!!!!
ok kuna fundi wamjua?spring ni nzima maana nikivuta risasi inapush vyema paka chemba na upande wa gaurd haina shida maana napo vuta trigger mkuu nahisi firing pin isingegonga risasi ingekuwa ngumu kinachotokea inagonga vyema na kutapika vizuri kama inatoa caliber kumbe risasi nzima na wakati inaruhusu risasi nyingine kupanda kama kawa yaani sina amani maana huyu ndo kijana wangu msaidizi mkuu kama unafundi nipe namba yake
Sasa nimekubali Tanzania ya leo sio ile ya mpaka 47,discussion za bastora wazi wazi !
kama bado inakuzingua ipeleke mzinga morogoro mara moja itakua sawa
umeisafisha lini mara ya mwisho? angalia usije ukafyatua huku unachungulia mtutu
mkuu nilijaribu ilipiga lakin nashukuru siui nimefanyaje wakati napitia uzi wa jellymsigwa nikaamua kuisafisha kwa umakini huku napress trigger baada ya happo nikajaribu imejibu sasa kihomhom siwez endelea jaribu mapema kesho nitaenda shamba nikafanye fujo huko
tatizo sio firing pin hii kitu kitaam inaitwa misfire.Hili neno asili yake lipo katika Firearms Terminology ambayo kiualisia huwa hivi; A misfire occurs when a shooter attempts to fire a gun and is met with failure instead of a bang.
hapo ndipo tatizo ulipoliona, sasa hii usababishwa na nini hasa
sababu za misfire zipo nyingi mkuu na zinatatulika umesema kuwa gun performed its function properly sasa jaribu kuangalia vitu hivi; primer,rim na rimfire kama hakuna tatizo angali ammunition zako zitakua sio nzuri just change it.
mkuu nimejifuinza kitu yam kusafisha silaha muhimu sana mm mda sana sijasafisha na sikuwepo nchini kwaiyo niliiacha basi sikutumia mda mrefu
ipeleke tanganyika army
mkuu watakutatulia tatizo lake me mwenyewe yangu ilikuwa hata ukipiga
mtu haiuwi mtu wakanipa sumu ya kuulia:smile-big:
Chagua jibu sahihi..................(A) BastoruHivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo sana kiasi cha kushindwa kulipuliwa coil zote zinavuta risasi vyema paka chemba lakin kwenye kulipua ndo shida na hili tatizo limeanzasi muda mrefu hasa nimegundua nilipokuwa shamba kwaajiri ya kupiga risasai kadhaa katika testing ya kawaida mwenye idea pls
Hongera mkuu, hayo mambo huwa yanatokea mda mwingine hata hujatarajia. Pia unapoitunza hakikisha
1. Hufungi ktk nylon(zero ventilation)
2. Weka ktk diary yako siku za kuifungua na kuisafisha mfano kila juma2 ya kwanza ya mwezi
3. Chek ikiwa expiry date zinakaribia ili upate kujua lini unatakiwa kutotumia tena
4. Kwa sheria ya Tz unaruhusiwa kuwa mpk silaha 3 tofauti, kama waweza tafuta pump-action shotgun nzuri sana kwa self defence ikiwa uko home tu. So ukiwa na s/gun 1, pistol na moja kati ya .458, .30-06 au .375 tosha sana.
Kila la kheri mkuu
Ni tatizo la kawaida kwa hizo bastola. Nenda Tanganyika arms watakuchongea nyingine au pale karakana ya polisi kilwa road. Pia epuka tabia ya kuvuta trigger wakati chamber iko empty. Tabia ya namna hiyo ikirudiwa mara kwa mara huwa inaharibu firing pin.Hivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo sana kiasi cha kushindwa kulipuliwa coil zote zinavuta risasi vyema paka chemba lakin kwenye kulipua ndo shida na hili tatizo limeanzasi muda mrefu hasa nimegundua nilipokuwa shamba kwaajiri ya kupiga risasai kadhaa katika testing ya kawaida mwenye idea pls
Akiona mafuta ya bunduki bei mbaya atumie hata ya cherehani yatafaa. Haya yanauzwa buku tu kwa chupachief_mtemi
Wakati mwingine misfire inatokea kama spring za magazine zimelegea hivyo risasi kushindwa kupanda na kuingia vizuri kwenye chamber. Vilevile angalia ushikaji wako wa hiyo bastola. Bastola nyingi usipoishika vizuri na kubonyeza guard iliyopo kwenye kitako, husababisha misfire au kutopiga kabisa. Sababu nyingine ya misfiring na jamming ni uchafu uliopo kwenye bastola. Ni muhimu kusafisha bastola yako mara baada ya kuitumia na kuweka mafuta ya bunduki kwa kiasi chake. Tatizo likizidi, peleka bastola hiyo kwa fundi wa bunduki aangalie hiyo firing pin kama ni nzima.