chief_mtemi
JF-Expert Member
- Jun 23, 2013
- 529
- 121
dah! mkuu unatutishia au?Hivi kwa wale wenye browing 9mm kuna ili la tatizo la firing pin kushindwa kuchoma risasi ili ilipuke yani unavuta trigger na inakubari lakin hailipuki na ukiangalia risasi ni kama imeguswa kidogo sana kiasi cha kushindwa kulipuliwa coil zote zinavuta risasi vyema paka chemba lakin kwenye kulipua ndo shida na hili tatizo limeanzasi muda mrefu hasa nimegundua nilipokuwa shamba kwaajiri ya kupiga risasai kadhaa katika testing ya kawaida mwenye idea pls
tatizo sio firing pin hii kitu kitaam inaitwa misfire.Hili neno asili yake lipo katika Firearms Terminology ambayo kiualisia huwa hivi; A misfire occurs when a shooter attempts to fire a gun and is met with failure instead of a bang.
hapo ndipo tatizo ulipoliona, sasa hii usababishwa na nini hasa
sababu za misfire zipo nyingi mkuu na zinatatulika umesema kuwa gun performed its function properly sasa jaribu kuangalia vitu hivi; primer,rim na rimfire kama hakuna tatizo angali ammunition zako zitakua sio nzuri just change it.

Mpe mtu yeyote ashike halafu wewe simama kwa mbele,mwambie atest kushoot huku ukimwangalia,ikilipuka mwambie akuelekeze amefanyaje!!!!
Fuata wataalamu walipo na watakueleza kitu sahihi. shida moja sina uhakika kama unamiliki pistol hiyo kihalali kwani ukienda polisi watakusaidia vizuri sana hasa kipindi hiki cha kulipia leseni ni wakati muafaka kufanya hivyo
. La sivyo maneno mengine hapo hayakusaidii kitu zaidi ya kukutafutia hatari kubwa zaidi mbeleni, " Ole wako usije ukachungulia tundu la mtutu kama risasi inatoka"
chief_mtemi
Wakati mwingine misfire inatokea kama spring za magazine zimelegea hivyo risasi kushindwa kupanda na kuingia vizuri kwenye chamber. Vilevile angalia ushikaji wako wa hiyo bastola. Bastola nyingi usipoishika vizuri na kubonyeza guard iliyopo kwenye kitako, husababisha misfire au kutopiga kabisa. Sababu nyingine ya misfiring na jamming ni uchafu uliopo kwenye bastola. Ni muhimu kusafisha bastola yako mara baada ya kuitumia na kuweka mafuta ya bunduki kwa kiasi chake. Tatizo likizidi, peleka bastola hiyo kwa fundi wa bunduki aangalie hiyo firing pin kama ni nzima.
Bunduki yako itakuwa na mojawapo ya shida hizi:
1. Primer ( hope ni centrefire ammo) inaweza kuwa hai-ignite kwa kutoa sparks thru primer hole kwenda kuwasha gunpowder. Hii haina ujanja ikiwa primer ndio tatizo ni kununua ammo nyingine tu
2. Firing pin head imepungua urefu wake(tear and wear) labda kwa kutu, kugongwa kiasi kuwa hata hummer ikigonga msumari bado nguvu ya kugusa primer haitoshi (not at threshold)
3. Uchafu, jaribu kulainisha kwa kutumia gun oil ama kibongo bongo oil no 40. Hasa sehemu za firing pin hole, ejector n extractor!
Naimani tatizo lako litakuwa lmekwisha mkuu