Msaada wa kitaalamu kwa bastola ya Browning 9mm

ipeleke tanganyika army mkuu watakutatulia tatizo lake me mwenyewe yangu ilikuwa hata ukipiga mtu haiuwi mtu wakanipa sumu ya kuulia:smile-big:
 
ipeleke tanganyika army mkuu watakutatulia tatizo lake me mwenyewe yangu ilikuwa hata ukipiga mtu haiuwi mtu wakanipa sumu ya kuulia:smile-big:

umeanza vyema lakini ulivyomalizia mmmmmhhhhhh haya bwana
 
Mkuu kama Tanganyika Army wanakosa fundi mpaka Dec basi inatisha. Nadhani wengi wameshatoa ushauri wa kupeleka kwa fundi, sina la kuongeza. Pole mkuu, natumaini suluhisho litapatikana haraka... 🙂
 
Chukua pensil yenye kifuto. Tumbukiza upande wa kifutio kwenye mtutu huku ukiangaliza pistol kwa juu. Piga uangalie kama kalamu inaruka juu na uangalie mark inayobaki kwenye raba utapata jibu
 
Mkuu kama Tanganyika Army wanakosa fundi mpaka Dec basi inatisha. Nadhani wengi wameshatoa ushauri wa kupeleka kwa fundi, sina la kuongeza. Pole mkuu, natumaini suluhisho litapatikana haraka... 🙂

mkuu nafikiri hujanielewa tanganyika army sikupeleka niliwacheki tu askari ndo wakaniambia ivyonajaribu kuisafisha kama nilivyoelekezwa na wadau then ikiwa sio basi next week lazima niende tanganyika army
 
Chukua pensil yenye kifuto. Tumbukiza upande wa kifutio kwenye mtutu huku ukiangaliza pistol kwa juu. Piga uangalie kama kalamu inaruka juu na uangalie mark inayobaki kwenye raba utapata jibu

ila mku diamiter ya pensil na risasi ni tofauti sana so waweza zamisha hafu ikaenda angle nyingine hujafikiria ilo
 
Daaaaah nimegundua huku JF kuna watu multi-professions, yaani hapa nimetoka mwepeee! Nimebakia tu kusoma comments na kukenua.
 
Chukua risasi unazohis ni misfire na ujaribu kwa bastola nyingine uangalie matokeo. Je, bastola yako imeshapiga risasi hata moja? Kama ndio basi ni industrial problem. Inaweza kuwa na firing pin fupi au soft inayoisha mapema. Pia test double reconnection. Kama haifanyi ni tatizo la kiwandani.
 
Ni vizuri umeng'amua hilo mapema.....maanake ingekutia aibu mbele ya mke na watoto siku majambazi wangekuvamia...!

Nakumbuka miaka mitatu au minne iliyopita kule Mbagala kuna mwanajeshi mstaafu yalimfika mauti baada ya kutoa bastola na kuwaweka majambazi chini ya ulinzi......lakini kwa mbwembwe zake alitaka kum-shoot mmoja kama demo....sasa badala ya kutoka risasi kwa kishindo.....likatoka vumbi.......duh walimgawana kama mbwamwitu.....!
 
mkuu nilijaribu ilipiga lakin nashukuru siui nimefanyaje wakati napitia uzi wa jellymsigwa nikaamua kuisafisha kwa umakini huku napress trigger baada ya happo nikajaribu imejibu sasa kihomhom siwez endelea jaribu mapema kesho nitaenda shamba nikafanye fujo huko
 
aaaahaa ndugu usiombe ya kukute ndo maana unashauriwa atleast ndan ya miezi miwili basi silaha yako lazima uijaribu
 
daa mkuu nashukuru nimesafisha sana yani tena kwa hasir sijui nikagusa wap nikasikia kama coil ama sping zimeachia na nilipojaribu imekubali sasa kesho nitaenda shamba nijaribu kadhaa then nitwaajuza hapa kihomehome siwezi piga kadhaawasije wakajaa raia ila nashukuru sana ndo raha ya jf wakati askari wamekaa nayo wiki nzima hakuna kitu
 
Kamuulize kova kama hujaitwa gaidi.

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
umeisafisha lini mara ya mwisho? angalia usije ukafyatua huku unachungulia mtutu
 
MWENYEWE HAPA NIME NUNUA BOMU SASA KILA NIKIJARIBU KULIRIPUA HALI RIPKI ...NI AINA YA grunet....msaada plz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…