Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

glass amo

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2017
Posts
3,645
Reaction score
4,330
Habari zenu wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada maana kichwa cha habari kina swali nililo kusudia kuuliza

Katika maisha yangu toka Nime balehe na kuota ndevu nimekua sina raha katika maisha yangu kwani sura yote imejaa ndevu. Nilipoanza kunyoa kwa wembe ndo balaa kabisa zimekuja kua na shepu mbaya Sana na kikweli zinanikera hapa usoni kwangu

Katika kupitia masuala ya urembo nikakutana na kitu kinaitwa PLASTIC SURGERY. Hapo nikasikia habari za kubadili shepu za viungo mbalimbali. Sasa shida yangu naomben mnisaidie kama inawezekana nikafanya hiyo plastic surgery ya kuzipanga ndevu zangu zikae upande mmja....
Naona hamja elewa ninacho maanisha sasa zipo hivo. Nataka zikae kudevun tuu
Msaaada tafadhali
Ahsante
 
Attachments

  • FB_IMG_1509554345562.jpg
    FB_IMG_1509554345562.jpg
    15.2 KB · Views: 168
  • FB_IMG_1509554345562.jpg
    FB_IMG_1509554345562.jpg
    15.2 KB · Views: 122
Baadae itafika muda unataka ubadilishwe jinsia ridhika na maumbile yako dogo mambo ya kipunga hayo achia wazungu huku ni tanzaniaaaa

Af we dogo mtu wa ajabu si ndo wewe umekuja juzi unatafuta namna ya kupata scholarship kusoma nje kumbe akili yako ndio hii hushindwi kurudi umejibadilisha ata jinsia , yani vijana wa sikuizi sijui mna nini aiseee , sikupatii jibu hadi sasa hivi
 
Utanashati sio dhambi
 
Ngoja kwanza huyu mtoa huu uzi ni ME au KE kwa sababu avatar yake inanitia mashaka mimi nisije kumpara baharini
 
Unataka kuzipanga upande mmoja uongo...
 
Back
Top Bottom