glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,645
- 4,330
Habari zenu wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada maana kichwa cha habari kina swali nililo kusudia kuuliza
Katika maisha yangu toka Nime balehe na kuota ndevu nimekua sina raha katika maisha yangu kwani sura yote imejaa ndevu. Nilipoanza kunyoa kwa wembe ndo balaa kabisa zimekuja kua na shepu mbaya Sana na kikweli zinanikera hapa usoni kwangu
Katika kupitia masuala ya urembo nikakutana na kitu kinaitwa PLASTIC SURGERY. Hapo nikasikia habari za kubadili shepu za viungo mbalimbali. Sasa shida yangu naomben mnisaidie kama inawezekana nikafanya hiyo plastic surgery ya kuzipanga ndevu zangu zikae upande mmja....
Naona hamja elewa ninacho maanisha sasa zipo hivo. Nataka zikae kudevun tuu
Msaaada tafadhali
Ahsante