Msaada wa kufanya ndevu ziote kwa mpangilio mzuri

Hebu tuma picha yako tuone namna gani hilo suala lako linahitaji ushauri
 
Dawa ni pesa,,ukiwa na pesa zitaota kwa mpangilio
 
Nimejikuta nacheka, lazima una matatizo yaani huna marafiki au vinyozi wakueza kukusaidia mpaka ulileta hapa?
Una sura ngumu nini mpaka unajiogopa?. Kutongoza huwezi kisa ndevu au?
Yap
 
Mbona katika hizo picha ulizo attach hizo ndevu ni nzuri na zimekaa kimpangilio.....ridhika na ulivyo kikubwa zifanyie tu usafi mara kwa mara
 
Mbona katika hizo picha ulizo attach hizo ndevu ni nzuri na zimekaa kimpangilio.....ridhika na ulivyo kikubwa zifanyie tu usafi mara kwa mara
Ahsante but niliwaza zikiwa kidevuni pekee itakua sawa zaid
Any way ntaaendelea kua nazo
 
Vijana wa siku hizi wamekuwa wa ajabu sana,inashangaza mwanaume anashangaa kuwa na ndevu hata kufikia kutaka kufanya surgery ili zisiote au ziote upande mmoja,halafu ni kijana wa kitanzania!!!ndevu tumeumbiwa wanaume wanaotakiwa kushangaa zikitokea ni wanawake maana wao haziwahusu cha kufanya ni wewe kujikubali na kuacha maisha yaendelee.
 
Barikiwaaaaa
 
Yapo mambo unaweza pambana nayo, ila sio ndevu. ukipambana nayo sana mwisho itakua kuharibu vitundu vya nywele na kupata uvimbe. but mbona unawaza vitu visivyo na msingi ndevu kitu cha kawaida sana kwa mwanaume. watu wanazo ndevu hadi kwenye ulimi.. muhimu nunua tu mashine ya kunyolea kila siku uwe unayoa. mm nanyoa asubhi na mchana na sijawahi ona kama ni tatizo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…