Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Duh, wee sokwe sasa!Zikae only kidevuni sio had I maskion
Dawa ni pesa,,ukiwa na pesa zitaota kwa mpangilioHabari zenu wakuu
Moja kwa moja niende kwenye mada maana kichwa cha habari kina swali nililo kusudia kuuliza
Katika maisha yangu toka Nime balehe na kuota ndevu nimekua sina raha katika maisha yangu kwani sura yote imejaa ndevu. Nilipoanza kunyoa kwa wembe ndo balaa kabisa zimekuja kua na shepu mbaya Sana na kikweli zinanikera hapa usoni kwangu
Katika kupitia masuala ya urembo nikakutana na kitu kinaitwa PLASTIC SURGERY. Hapo nikasikia habari za kubadili shepu za viungo mbalimbali. Sasa shida yangu naomben mnisaidie kama inawezekana nikafanya hiyo plastic surgery ya kuzipanga ndevu zangu zikae upande mmja....
Naona hamja elewa ninacho maanisha sasa zipo hivo. Nataka zikae kudevun tuu
Msaaada tafadhali
Ahsante
Hebu weka picha yako nione hizo ndevu zako nikushauriZikae only kidevuni sio had I maskion
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Anataka Kiduku cha ndevu
Ahsante but niliwaza zikiwa kidevuni pekee itakua sawa zaidMbona katika hizo picha ulizo attach hizo ndevu ni nzuri na zimekaa kimpangilio.....ridhika na ulivyo kikubwa zifanyie tu usafi mara kwa mara
BarikiwaaaaaVijana wa siku hizi wamekuwa wa ajabu sana,inashangaza mwanaume anashangaa kuwa na ndevu hata kufikia kutaka kufanya surgery ili zisiote au ziote upande mmoja,halafu ni kijana wa kitanzania!!!ndevu tumeumbiwa wanaume wanaotakiwa kushangaa zikitokea ni wanawake maana wao haziwahusu cha kufanya ni wewe kujikubali na kuacha maisha yaendelee.
Yapo mambo unaweza pambana nayo, ila sio ndevu. ukipambana nayo sana mwisho itakua kuharibu vitundu vya nywele na kupata uvimbe. but mbona unawaza vitu visivyo na msingi ndevu kitu cha kawaida sana kwa mwanaume. watu wanazo ndevu hadi kwenye ulimi.. muhimu nunua tu mashine ya kunyolea kila siku uwe unayoa. mm nanyoa asubhi na mchana na sijawahi ona kama ni tatizo.Habari zenu wakuu