Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

Passport ya bongo unapata ndani ya siku mbili, mwezi mbona mbali mno
 
Tanzania Ni Ngumu Sana Hii
Yaani Aongeze Nguvu Ya Nini Wakati Kila Kitu Anacho
Moja ya masharti ya kupewa hiyo kitu uthibitishe una safari. Kwa mujibu wa mleta uzi, hata safari hana.
 
Kwa mambo haya tunayofanyiana watz Mungu akisaidia nikatoka nitakua narudi Tz kutembea tu. Nchi nzuri ila wapuuzi wanaiharibu mtu unakosa hata hamu ya kuishi humu
Na fikra za kupuuzia kama hizi ndio zina sababisha msipewe
 
Kama wazazi wote wametangulia mbele ya haki ila viambatanisho vingine ninavyo inakuaje hapo mkuu,nitapata kweli passport?
 
Wakurungwa mpaka sasa sijapewa Mwongozo
Kuhusu barua andika simple tu ya kiswahili isiwe ndefu, uthibitisho wa safari andika ni safari binafsi unless iwe ya kiofisi unaweza kuattach barua ya kazini au kama umepata chuo nje utaweka admission letter, hao wanaokwambia uongeze nguvu usikute hata passport yenyewe hawana, jiamini inginia online jaza fomu yao na ukienda ofisini kwa interview view relax akikuuliza swali la kijinga na wewe mrudishie uone atajibuje, Mimi nilipata passport bila kutoa rushwa hata senti na wazazi hawakua na vyeti vya kuzaliwa, walipovidai nikawambia kwani nyie wqzazi wenu wanavyeti vya kuzaliwa? Labda wamechukua hivi vya rita wakachukua finger prints nikasema wiki iliyofuata nikaendea

Sent from my Infinix X606D using JamiiForums mobile app
 
Umeshauriwa vizuri.

1. Hawa wote waliokwambia ni hata siku mbili ,Yes ila ni uwe na hongo. Ukifuata utaratibu utapata lakini si chini ya mwezi.
Nilijua kwa dar wiki mbili ndio Maximum kumbe hadi mwezi?
2.Barua ya mwaliko mwambie mwenyeji wako akuandikie, kama ni email unaprint unapeleka.
Hii sina.. Je uaambatanisha na vyeti vyako ndio unapewa Passport
3.Kokote huduma unapata si lazima kwenda Dar, ila tu kuwa mvumilivu usiwe na haraka wala kimuhemuhe.
Na nina kimuhemuhe kweli asee ila kwa huku naona usumbufu ni mkubwa kuliko dar. Dar napo ghalama ni nyingi mno kwenye mausafiri na nauli za basi

Mkuu nakuomba pm please please
 
Ndiyo unawasilisha kila kitu, unapokwenda kukusanya vinakaguliwa ukiwa palepale visipotimia unarudishiwa rundo lako mpaka vitimie ndiyo unaondoka dirishani.
Daah na kwenye kujaza form online hiyo barua itahitajika pia??
 
Barua andika kwa kamishna jenerali mkuu ya kiswahili ukiomba hati ya kusafiria.

Uwe na sababu ya safari ambayo utaambatanisha.

Jaza form online lipia halafu iprint peleka ofisi ya uhamiaji pamoja na viambatanisho vinavyotakiwa.

Hati unaweza kupata bila kutoa sh. 10 ya ziada ndani ya week mbili.
Cc
harakati za siri
Ushauri wako please
 
We jamaa utaibiwa, kuna member amekushauri fresh2, apply vyuo online upate admission letter.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…