Msaada wa kupata Pasi ya kusafiria

sisi wenye asili ya kiasia wazaliwa wa tanzania kupata passport hata kama una cheti cha kuzaliwa chako cha baba babu hadi cheti cha nabii adamu uwapelekee na cha mama bibi mpaka cheti cha eva au hawa hupati
 
Hii nchi ya hovyo yaani kupewa passport mpk uwape uthibitisho wa Safari wakati ilibidi kila mwenye uhitaji awe nayo bila kujali anasafiri au hasafiri

Last month Kuna mzee mmoja aged 59 alipata mchongo wa scholarship South Korea kwakua age imeenda akaona ambless mtu yyte yule akampa mchongo mwalimu mmoja (lakini mda ulibakia mchache sana) mwalimu akaanza kufatilia hyo passport aiseee alisumbuliwa mpaka akaghairi kwenda...... Lakini angekuwa na passport mkononi within a week àngeenda kusoma Korea.
 
Ningependa kufahamu je hio Barua unaandika kwa watu walio mkoani tu. Au Hata ukiwa dar utaratibu ni huo huo??
 
Wakuu Kwenye cheti cha kuzaliwa mzazi Ninacho cha baba tu. Mama hana nida wala Cheti je haitaleta shida??
Katafte affidavit pia usisahau na hela ya kubrashia vitu Kwa ma officer wa uhamiaji
 
Ok mkuu Ahsante kwa muongozo. Sasa ningependa nijibiwe hayo maswali hapo.
Je ni lazima niandike Barua na kupeleka barua ya utambulisho wa Serikali za mtaa??
Yes barua ya uambatanisho kutoka serikali za mitaa ni muhimu, pia nenda kawape 10000 wakujazie wenyewe palepale ukijaza mwenyewe itagoma na hapo utakuwa ushalipa 20000 yako ni hasara bin hasara
 
Yes barua ya uambatanisho kutoka serikali za mitaa ni muhimu,
Nishaipata. Mungu mkubwa
pia nenda kawape 10000 wakujazie wenyewe
Palepale ofisi za uhamiaji ndio wanijazie??? Stationary hapa chuga wanadeal na hii kitu je wakinijazia wao maafisa pale hawataleta figisu kweluhaitagoma
palepale ukijaza mwenyewe itagoma na hapo utakuwa ushalipa 20000 yako ni hasara bin hasara
Daah.. Tanzania yangu
 
Nishaipata. Mungu mkubwa

Palepale ofisi za uhamiaji ndio wanijazie??? Stationary hapa chuga wanadeal na hii kitu je wakinijazia wao maafisa pale hawataleta figisu kweluhaitagoma

Daah.. Tanzania yangu
Shida Wana vishoka wao Wana access na system ukijaza mwenyewe hats ulipie form inagoma ku print na lengo lao wakutapeli hyo elfu kumi yako tu
 
Mkuu Ahsante sana malekezo yako yapo sahihi kwa 95%. Nimeshafanya hatua kafhaa kesho naenda uhamiaji. Niombee nifanikishe Tafadhali
 
Ushakusanya na kukabidhi nyaraka zote na umelipia tayari?
Ndio nimepiga picha tayari. Ndio nasubiri Passport sasa wamesema mpaka wiki sita mm nilijua ni mwez tu. Ningejua ningekuja tu dar
 
Ndio nimepiga picha tayari. Ndio nasubiri Passport sasa wamesema mpaka wiki sita mm nilijua ni mwez tu. Ningejua ningekuja tu dar
Pole, lakini kama hauhitaji kwa haraka sana week sita si nyingi.
 
Pole, lakini kama hauhitaji kwa haraka sana week sita si nyingi.
Ahsante. Ika ngoja nivumilie asee nikitaa dec isinikute huku kama Mungu akifanya wepesi. Subira ibada ngoja nijitahidi kuvumilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…