Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

Msaada wa kupata soko la mazao ya bustani nchi za nje

GM98

Member
Joined
Dec 9, 2022
Posts
21
Reaction score
12
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25.

Nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje.

Hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
 
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25, nimeplan kulima kilimo cha .
Mazao gani? Sio kila mazao unaweza kuuza nje, na pia huwezi pata soko kabla hujazalisha, make huwa zinahitajika sample.
 
Habari wanandugu, mimi ni kijana ninamiliki shamba lenye ekari 25, nimeplan kulima kilimo cha umwagiliaji na nina tamani kusafirisha mazao yangu nje, hivyo nilikua naomba kama kuna mwenye ABC za namna ya kupata markets nchi za nje anisaidie.
Hingera mkuu kwa kupata shamba kubwa namna hiyo.

Ila Mimi naona Lima mazao ya kawaida kwanza waza kuuza hapa hapa nchin kupitia soko la hapa hapa ni Rahisi kupata connection ya soko la nje maana kwa Sasa ni ngumu maana hujui hata dalali wa shamba, wa sokoni, na hata mnunuaji humjui.

Zoea kwanza mazingira ya nyumbani.
 
mazao kama sweat peppers(hoho), chillis, marage mabichi etc, pia kama kuna mwenye recommendation ya mazao yenye soko itakua vyema zaidi
Uko mkoa gani? Anza na soko la Tanzania kuna foregners wengi sana
 
Kama uko Arusha watafute TAHA wakuunganishe na masoko(watafute kabla hajaanza kulima ili wakupe specification za products zinahitajika kwenye masoko ya nje)
 
Back
Top Bottom