Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Kuna msanii mmoja sikumbuki jina aliwai kuimba na mnukuu "HII DUNIA INA MAMBO KAMA WASEMAVYO WATU PORI" Mwisho wa kunukuu
 
Pambana na hali yako umri wako wa 37 bado unataka kukaa kwa Baba
Naona apo wewe ndo mwenye tatizo wala sio Baba yako
 
Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee - JamiiForums

Kwenye huu uzi mwingine siku kadhaa nyuma, ulikuwa unatafuta fundi wa kukujengea nyumba ya kisasa.

Lengo langu sio kukuchimba mkuu. Nia ni kukuambia kuna watu JF ni mkombozi wao. Walipata misaada humu toka kwa watu wasiojuana nao. Sasa mnapojitokeza watu dizaini yako na kuanza kuleta uongo uongo, mnawaharibia wengine.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi ni mmoja kati ya watumiaji walionufaika na jf.
 
Mtoto wa miaka 37 unachokosea ni mambo ya kifamilia kuyapeleka serikalini. Familia ina watu wengi na wenye uwezo zaidi kutatua matatizo ya kifamilia kuliko hao unaowakimbilia kila mara. Anza upya tafuta wazee wakuambie namna ya kufanya kumrudia Baba yako akusamehe.
 
  • Thanks
Reactions: amu
Mkuu unamdai mzazi wako hela kiasi hicho ??????Tena unamuendea kwa mwenyekiti????? serious??????
Tafuta pa kwenda tu
 
Back
Top Bottom