Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Naamini ni chai tena hata sukari haina.

Lakini kama ni kweli mtu kama wewe na wengine aina yako ni hasara kubwa sana.

Miaka 37 unang'ang'ania kwa baba yako ni kwako hapo!!!

Harafu una Degree!!!

Hapa Mzee alikuwa anauza Ng'ombe na kwenda kusomesha Ng'ombe mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mkuu mimi bado ni mtoto na pale ni kwetu
Mkuu, nimepitia post zako za siku zilizopita ulizozianzisha hapa jukwaani, napata shaka na hizi shida zako.
--Kuna thread yenye kichwa : FUNDI UJENZI BORA, MWENYE BEI NAFUU NJOO UNIJENGEE. Ukaweka na picha ya nyumba.

--Thread nyingine, --MWENYE KUJUA GHARAMA ZA KUJENGA MSINGI WA NYUMBA YA VYUMBA VIWILI, SEBULE, JIKO, STOO NA CHUMBA CHA CHAKULA. --Maeneo, MBEZI -KIMARA.
Pia kuna thread uulizayo UZOEFU WA KWENYE NDEGE, kwenda Mwanza, pamoja na gharama za Hoteli huko Mwanza.

Kwa THREAD hizo, binafsi sioni kama kweli unafanana na mtu ambaye ni KULA KULALA kwa Baba! Inawezekana hiki ulichotuambia kwenye thread hii ni cha UONGO, au hizo THREAD ZA KUJI-PROUD 'FAI' ni za uongo!
 
Wewe inawezekana ni mtoto chini ya miaka 18,kwanini kama una miaka 37 unalazimisha kykaka nyumbani,na kwani hao mboga mboga wanakuoa nini ugombane na baako, kama hutaki kumsikiliza kalale ofisi ya chama.

Pia usitegemee urithi,kurithi siyo lazima,mwemye mali yake anaweza kuamua kumpa yeyoye,siyo lazima na wewe upate,tafuta UTAKUFA MASIKINI.
 
Wewe ni mzigo kwa wazazi na taifa, aya ya pili kutoka mwisho imekuchora jinsi ulivyo moyoni, unawaza urithi! Kitendo cha wewe kulazimisha kukaa kwenu kitampelekea mzee wako afe mapema kwa presha maana anajua utawasumbua hata ndugu zako ktk urithi including mama yako! Pole na pumbavu sana kwa kukosa akili za kutafuta chako!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
wadau mbona mnakaza akili, jamaa anafurahisha wana jamii tu
😂😂nilihisi mimi tu ndo naona huu uzi kama mzaa!

Uwezo wa kupangilia matukio na uandishi unaonesha wazi mleta mada yuko timamu na hana shida na mzazi wake na sio mwanachama wa ccm, zaidi ni mwanachama cha CDM.
 
Mbaya zaidi, anawaza kurithi, atambue kuwa kurithi siyo lazima,mwenye mali yake anaweza kumrithisha mtu mwingine,na pia anaulazima gani wa kung'ang'anan na chama? akalae basi huko ofisi a chama
Naamini ni chai tena hata sukari haina.

Lakini kama ni kweli mtu kama wewe na wengine aina yako ni hasara kubwa sana.

Miaka 37 unang'ang'ania kwa baba yako ni kwako hapo!!!

Harafu una Degree!!!

Hapa Mzee alikuwa anauza Ng'ombe na kwenda kusomesha Ng'ombe mwingine.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeandika kama umeondolewa ubongo. Hiyo degree yako imekuwa ni hasara kwako.

Nakushauri urudi nyumbani ukakiri kosa na kuomba msamaha, hiyo ndio njia pekee itakayofungua baraka kwa Mungu. Pia, achana na siasa maana inaonekana siasa kwako ni mzigo unaokufanya ukose hekima.
Mwanaccm mwenzenu huyo
 
Haijawahi tokea mtoto au mzazi kumchukua mwanae au mzazi wake kwa sababu ya chama cha siasa huu ni uongo,we jamaa hebu chunguza kama huyo ni baba yako halali,inawezekana alikuokota.
 
Kwanza, Pole.

Pili, Mzee wako bila shaka unamfahamu jinsi alivyo na misimamo yake ipoje ya kisiasa! Kingine huwezi jua CCM ilimfanyaje pengine! Kwanza ni ajabu siasa kuipeleka mpaka nyumbani, kwani ungebaki nayo wewe ungelipungikiwa na nini? Hili ni kosa umelifanya.

Kingine: Kitendo cha kwenda serikali za mitaa kumshitaki Mzee wako kuhusu deni ni aibu! Umemdhalilisha Mzee wako kwenye jamii. Ndiyo maana mzee wako akatumia uanamume kukujibu. Hili ni kosa ulikosea.

Kingine: Umerudi kule kule umeanda kumshitaki tena mzee wako kwenye ngazi ya serikali za mitaa kutokana na zuio la Mzee wako! Kiongozi, huna ndugu? Huna baba mkubwa? Huna baba mdogo? Huna mashangazi? Huna babu? Huna bibi? Huna ndugu wa aina yoyote upande wa baba? Mbona unafanya mambo ya ajabu kabisa? Unachosahau ni kuwa baba yako naye ni kidume kama wewe unavyojiona kidume! Ukimletea issues za kidume naye atakuletea kidume. Hapo napo ulikosea!

Kingine: Hekima, kujishusha hivi vyote hauna! Unaweza ukawa umesoma lakini hivi hauna! Inavyoonekana nidhamu yako ilianza kushuka mahali, sasa sijui ulipojiunga na siasa ama nini! Ifahamu nafasi yako ni ipi! Ifahamu mipaka yako kwa mzazi wako ni ipi! Inavyoonekana hivi huvitambui na inavyoonekana unaweka ligi sana na utofauti na Mzee wako. Mtaani kuna msemo anasema "Mkubwa akibugi mkaushie" hata kama mdingi ana matatizo kausha tu jishushe maisha yaendelee. Palipo na mapungufu kwake yafanye kwa utimilifu kwenye maisha yako. Hapa napo ulikosea!

Ushauri wangu kwako.
Nenda kafute malalamiko yako dhidi ya Mzee wako serikali za mitaa. Kama mama bado yu hai tafutamwambie akusaidie ukutane na mzee wako hata kama si nyumbani mkae umuombe msamaha Mzee. Kama mama hayupo watafute ndugu upande wa Mzee uzungumze nao ili uhasama baina yako na Mzee wako uishe! Usitake Mzee wako aifahamu nafasi yako kwake wakati wewe hutaki kuifahamu na kuiheshimu nafasi yake kwako.

Jishushe! Acha kutunishiana msuli na Mzee wako!
 
Daah ukistaajabu ya Mussa utaona ya Firauni
37 yrs upo home...umefukuzwa ila unakiburi
Anyway cdhani kama upo na degree...Pia tatizo kama sio akili yako basi chama chako!.




Napenda kujifukiza
 
Kuhusu kumshawishi baba yako kujiunga na ilo lichama nampongeza sana. We una digrii lakini akili huna. Hiyo laki 7 ungenunua boda boda Usingekosa hela ya kula kuhusu kulala hata juu ya pikipiki ungelala. Usiwaze kuhusu mirathi yA baba yako tafuta chako
 
Back
Top Bottom