Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Miaka 37! Wewe ni fresh from school au?? Chuo ulimaliza mwaka gani Kipindi cha magufuli au kipindi cha kikwete??!
 
Ushauri mzuri,ila hapo kurud nyumbani at 37 yrs old,sio mginjwa wala mlemavu...apambane huko huko. Huwezi pata mtaji wa laki 7,tena ukapata na kibarua leo unataka kurudi kwa baba. Aecha upumbavu,apambane na hali yake.
Umeandika kama umeondolewa ubongo. Hiyo degree yako imekuwa ni hasara kwako.

Nakushauri urudi nyumbani ukakiri kosa na kuomba msamaha, hiyo ndio njia pekee itakayofungua baraka kwa Mungu. Pia, achana na siasa maana in aonekana siasa kwako ni mzigo unaokufanya ukose hekima.

Sent using iphone pro max
 
Watu dizaini yako ndio mnaodhalilisha wasomi nchi hii.
Inakuwaje hata kuandika Kiswahili kwa ufasaha kunakushinda.?
Hujui tofauti ya hata na ata?
Unataka usipunjwe urithi huku tayari una miaka 37 na digrii juu?
Nakushauri tafuta mume ili upate pa kuishi na kutomsumbua baba yako!
 
Kama uliyoandika ni kweli, naungana na viongozi wa kata. Unadiriki kumdai baba yako pesa? Afadhali ungemuomba pes ya mtaji (japo hata hiyo 700000 ni mtaji tosha). Mzazi hadaiwi namna hiyo. Ulipewa ukaambiwa usikanyage nyumbani na unakiri baba ako alikutolea maneno makali siku hiyo.

Halafu siasa imekuharibia mara ya kwanza bado unaikumbatia. Narudia "NENDA KWA HAOHAO CCM WAKUPE NYUMBA NA CHAKULA". Nahisi hiyo degree ni mzigo mwingine waliokubebesha maana hujitambui kabisa. Sikuhurumii hata kidogo, unless uko kwenye kifungo fulani cha kiroho na ndio maana unaakili za ajabu.
 
Sijasoma comments za wadau ila nitarudi kusoma..
Mkuu kwani hio elim yako mpaka sasa kagharamikia nan?
Nani kakulea mpaka umefika umri huo?
Umekula vya babako vingapi mpaka umdai hio pesa yako mpaka kwa mwenye kiti?

Unataka urithi kabla mzee ajadanja,Je ukifa wewe kabla yake?
Unataka urithi ulimsaidia kutafuta hizo mali?

Kwa umri wako ulitakiwa uwe na mji wako tena wakati mwingine mzee ndio aje nyumban kwako kupumzika kula mema ya mwanawe,

Badala ya kusubiri urithi,ulitakiwa uwe umemjengea mzee hata kibanda cha room mbili cha kisasa ajivunie kuwa na mtoto.

Wewe ni bure kabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi najuta kuchelewa kuuona. Kwa hizo details zako ulizoweka kama ni kweli, mkuu nenda kakanyage mafuta kwa Mwamposa.

Yani unahofia kudhurumiwa urithi na mzee wako? Kwani mali zako?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ata ningekua mimi ningekutimua unamdai pesa mzee wako kima ww aiseee ufukuzwee tu.

Ona sasa ccm imekuponza haya saaa ni muda huu wa kwenda kushinda na kulala lumumba si ndo wazazi wako eeeh!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
37 years; Umeoa? Una mchumba? Umezaa mtoto na binti au mmama yeyote? We ni mzaliwa wa dar au mikoani? Tangu umepata degree imepita miaka mingapi?
Nasubiri majibu then nitatoa ushauri wa msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
hapatana mkuu sijaoa, hapana sina mtoto mkuu, ila nina mpenzi, hapana nimezaliwa mkoani kanda ya ziwa, tangu nimepata degree ni miaka 11 imepita.
 
Back
Top Bottom