Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Msaada wa mawazo: COVID19 inanirejesha nyumbani, baba naye hanitaki

Kweli we ni kikoozi, miaka 37 hiyo unaelekea 40 wewe si kijana ni baba pia ,tafuta mali zako😀
 
  • Thanks
Reactions: amu
37 years; Umeoa? Una mchumba? Umezaa mtoto na binti au mmama yeyote? We ni mzaliwa wa dar au mikoani? Tangu umepata degree imepita miaka mingapi?
Nasubiri majibu then nitatoa ushauri wa msingi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: amu
Kwa umasikini huu unadhani serikali itaacha kuburuza watu wake?
 
  • Thanks
Reactions: amu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wazazi wetu kuna muda wanapitia vipindi vigumu sana.

Sent using [emoji106]
 
  • Thanks
Reactions: amu
Umeandika kama umeondolewa ubongo. Hiyo degree yako imekuwa ni hasara kwako.

Nakushauri urudi nyumbani ukakiri kosa na kuomba msamaha, hiyo ndio njia pekee itakayofungua baraka kwa Mungu. Pia, achana na siasa maana in aonekana siasa kwako ni mzigo unaokufanya ukose hekima.
Kumbuka ana miaka 37
 
Ushauri wangu;
Pambana na hali yako,37yrs
ni umri wa kujitegemea na
kuwasaidia wazazi,na siyo
kukalisha kende hizo nyumbani.
I wish nikuone nikukate makofi
ili uelewe ninachokwambia!
(Samahani lakini)
 
Nimecheka kama mazuri vile. Hii chai haina hata sukari.
 
Umeandika kama umeondolewa ubongo. Hiyo degree yako imekuwa ni hasara kwako.

Nakushauri urudi nyumbani ukakiri kosa na kuomba msamaha, hiyo ndio njia pekee itakayofungua baraka kwa Mungu. Pia, achana na siasa maana in aonekana siasa kwako ni mzigo unaokufanya ukose hekima.
huyu ni ccm ndivyo walivyo na siasa zao maji taka

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom