Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 11,640
- 24,066
Mimi ni mmoja kati ya watumiaji walionufaika na jf.Fundi ujenzi bora, mwenye bei nafuu njoo unijengee - JamiiForums
Kwenye huu uzi mwingine siku kadhaa nyuma, ulikuwa unatafuta fundi wa kukujengea nyumba ya kisasa.
Lengo langu sio kukuchimba mkuu. Nia ni kukuambia kuna watu JF ni mkombozi wao. Walipata misaada humu toka kwa watu wasiojuana nao. Sasa mnapojitokeza watu dizaini yako na kuanza kuleta uongo uongo, mnawaharibia wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app