Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nunua printer aina ya Epson l800 inauzwa laki 9 ukiweka wino wa sh 30000 unaweza kuprint picha 8000 binge la faida hapo baba
Mimi ninayo nimetumia mwaka sasa haija wahi kusumbua na hela niliyo nunulia ilisha rudilakini inategemea na biashara eneo ilipo nafikiri...na vipi hizo printer ni bora kununua hapa bongo au bora kuagiza nje uzoefu wako tafadhali
Mimi ninayo nimetumia mwaka sasa haija wahi kusumbua na hela niliyo nunulia ilisha rudi
mkitaka camera nzuri tuwasiliane nipo...nikon d series..sony moving camera zile ndogo...sunsung moving camera pia
Uwe na location, mpigaji picha mzoefu,PC,Printer,Camera,Background,Stands,Flash,accessories.Nawatakia pasaka njemaaa....!
Naomba ushauli nataka kufungua photo studio ya kawaida kabisa sasa sijuinianzie wapi na sijui vifaa vyakevina ghalimu pesa ngapi naomba msaada wa mawazo na akili iliniweza kufanikisha hilo.asanteni
kalagabaho tafuta D40 Iko Good! Ukiitafutia Na Lens Ya Nikkor 55-300m f/4-5.6 IF Ambayo Inakuwa Na VR {Vibration Resistance}
Vifaa vyote hivyo vinafikia bei gani kwa makadilio yako?Nina Uzoefu Wa Hizo Kazi 3 Yearz
Tools Zinazohitajika
1. Camera {kwa uzoefu wangu Tafuta Canon Eos 7D, au 5D Au DSLR YOYOTE. Hapa Utapata Picha Yenye Autofocus Kubwa Na Clear}
2. Utahitaji Photo Printer {Kama Huko Vizur Chukua Kubwa Za 30M Lakin Pia Utahitaji Printer Ndogo Kwa Ajil Ya Express Services! Au Ndogo Za Epson L800! Hiz Ni Econom Hazitumii wino mwingi! Na Pia Ni Ngumu}
3. Studio Lighting Tool
Kwa Indoor Hapa Utahitaji Taa Za Studio Kawaida Auto Ambazo zinadetect Mwanga Zenyewe! Utahitaji Reflector Kwa Classic Photograph Hii Itatumika Hata Outdoor! Pia Utahitaji Umbrella Photo Lighting Kwa Indoor Shots. External Flash! Kwa Ajil Ya Kukupa Mwanza Safi Katika Outdoor Shot. Usisahau Background. Ingawaje PS imerahisisha Now Days
4. Photo Editing Software
Kwa Ulimwengu Wa Sasa Editing Software Ni Kitu Cha Muhimu Hapa Napendekeza Adobe Photoshop CS5! Photoshine! Na Photoscape.
4. Photo Materials
Hapa Namaanisha Photo Frame! Bahasha! Mikasi! Make Up Tools!
5. Storage Devices
Kila Kaz Unayofanya Lazima Uhifadh! Ingawaje Utakuwa Na Editing Computer Usisahau Kutenga External Hard Disk Za 1TB Kwa Usalama zaid wa Kumbukumbu za wateja.
6. Scanner
Hii Ni Kitu Muhimu Sana Na Pesa Ipo Hapa Kwan Watu Weng Wanakuja Na Picha Zao Za Zaman Kutaka Zitolewe Upya! Nying Za Marehemu.
Vipo Ving Mkuu Ila Kama Utahitaji Mpiga Picha Nipo Hapa Mkuu Sina Dili!!
0786143441
Mkuu hapo paragraph ya kwanza ni milioni saba au laki saba?Kama Ukitumia Printer Ndogo Za L800 Tenga 7.5M ! Kama Utataka Printer Kubwa Andaa 30M + 7.5M kwa Mchanganuo Ufuatao;
1. CAMERA CANON EOS 7D Tsh 2.5M
2. PRINTER L800 Tsh laki 8 * 2 = 1.6 M
3. LIGHTING TOOLS full Package Ya Sony Lighting Set Yenye Taa + Reflector + Stand + Umbrella! Inaenda Tsh 1.2M
4. COMPUTER Naweza Weka Tsh 350K Ila Hutegemea Na Mahitaj Yako
5. STORAGE DEVICE ukipata External Ya 1TB Itatosha Hapa Naweka 150k
6. SCANNER hapa Naweka 200k Ila Pia Hutegemea
7. SOFTWARES hapa Naweka 30k Ya Bundle Tu Na Download Zote.
Hivyo Hapo Mkuu Mwanapropaganda