Msaada wa mawazo juu ya biashara ya photo studio & photo printing services

Mimi ninayo nimetumia mwaka sasa haija wahi kusumbua na hela niliyo nunulia ilisha rudi
Printa yangu L800 ina tatizo la kutoa mistari ktk picha, unawezaje kutatua hili tatizo? nimeshajaribu kila njia kuclean head, nozzle na kila njia. Nisaidie
 
Nawatakia pasaka njemaaa....!
Naomba ushauli nataka kufungua photo studio ya kawaida kabisa sasa sijuinianzie wapi na sijui vifaa vyakevina ghalimu pesa ngapi naomba msaada wa mawazo na akili iliniweza kufanikisha hilo.asanteni

mkuu umeishia wapi?
 
mkuu shukrani kwa ufafanuzi hii CANON EOS 7D unamaanisha canon mark2 au ni ipi? maaa nime google CANON EOS 7D nimeletewa list ya CANON EOS 7D Mark2... na ipi bora kati ya hiyo CANON EOS 7D na NIKON D40? ni vipi kuhusu lens? unaweza kunipa uzoefu lens ipi ni bora kununua?
 
mnakosea kufananisha mark 2 na nikoni d 40..mark 2 ni toleo la karibuni wakati iyo d 40 ni toleo la zamani fananisha nikon d 5100 au d 7000 nikon na na izo mark2 au 3..izo d 40,60,80 na 90 waliacha kutengeneza wameingia katika d 3000 na kuendelea..
 
mkuu hii CANON EOS 7D unamaanisha canon mark2 au ni ipi? maaa nime google CANON EOS 7D nimeletewa CANON EOS 7D Mark2
mnakosea kufananisha mark 2 na nikoni d 40..mark 2 ni toleo la karibuni wakati iyo d 40 ni toleo la zamani fananisha nikon d 5100 au d 7000 nikon na na izo mark2 au 3..izo d 40,60,80 na 90 waliacha kutengeneza wameingia katika d 3000 na kuendelea..

shukrani kwa uafanuzi ndugu..vipi unaweza kushare uzoefu wako kwenye lensi/
 
kalagabaho lens ya kuanzia 18mm ndio ina uwezo wa kuchukua tukio la karibu kwa umbali wa kuanzia izo mm tajwa na hata kupiga still picha au passport size unatumia lens ya 18mm izo za 70 na kuendelea ni matukio ya mbali kama mbugani au kurekodi mpira..
 
55mm mpaka 110mm inategemeana na shughuli unayotaka kuitumia wewe izo mm hazihusiani na uimara au ubora..ntakapikua karibu na izo lens ntakupa ufafanunuzi kwa maandishi..wewe unataka kutumia katika shughuli gani..
 
ok nimekuelewa ndugu
 
shukrani.. nataka kwa ajili ya photo studio na kukodi mkuu
 
Nawatakia pasaka njemaaa....!
Naomba ushauli nataka kufungua photo studio ya kawaida kabisa sasa sijuinianzie wapi na sijui vifaa vyakevina ghalimu pesa ngapi naomba msaada wa mawazo na akili iliniweza kufanikisha hilo.asanteni

kaka nachasudwa umeishia wapi njoo utupe mrejesho
 
Nafarijika sana kupitia JF.Nasaidika kwa namna nyingi sana.kupitia JF napata ushauri,najua mambo mengi lkn pia kupata mwemko wa kupiga hatua za kimaendeleo.
 
mkuu za masiku?.. hebu niambie hizi Scanner za EPSON V370 una uzoefu nazo? au ushauri wako scanner aina gani zinafaa zaidi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…