Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

Mkuu naomba namba yako
 
Watu mnazo biashara vichwani mwenu duh ,Mkuu naomba nawasiliano ili kila hatua niwe nakuomba ushauri
 
Ha

Nilichokiona hapa ni ujuaji mwingi ambao ni kinyume kabisa na uhalisia. Mtu anasema mchele hukaangwa ili kuupa harufu....aisee hatari kabisa....!
Labda hakumaanisha mchele bali mpunga maana hata sisi huwa tunakaanga mpunga hapa Ifakara hasa ule unaovunwa mbichi, baada ya kuukaanga kwa kutumia chungu kile kikubwa huwa unaanikwa na baada ya kukauka huachwa upoe na baadae kukobolewa, mchele huu kuwa na ladha nzuri sana na mara nyingi huliwa sana wakati wa mwanzo kabisa wa mavuno, ukiupika let say kimara hadi wa mbezi anasikia harufu na pia kuwa na ladha nzuri sanaaa.
 
Kama sehemu nyingine duniani hawatumii njia hii basi inaonyesha jinsi tulivyo nyuma. Nchi zinazolima mchele kwa wingi wanauza mchele mzuri sana hivyo kama na wao hawapaki mafuta basi ni ajabu.
Wenzetu wanafacilities nzuri za kuprocess mpunga hadi kuwa mchele..... Hawafanyi kienyeji. Mpunga ukitolewa shambani kuna mashine ya kuukausha yaani dryer ya umeme.....

Baada ya kukausha then unahifadhiwa kwenye chumba chenye jotoridi stahiki ambalo huufanya mpunga kuwa salama na wanapokwende kuukoboa hadi unakuja kuwa packed huwa unakaa salama bila hata kuweka mafuta....
 
Mkuu naweza pata namba yako simu , plz
 
Mkuu naomba namba yako , bado naitaji msaada wako ili nielewe vizuri , kiundani kuhusu biashara hii
 
Chukua mchele ulionyooka peleka Zanzibar utapiga pesa. Mbeya mchele ulionyooka/ambao haujakatikakatikana unaonukia ni sh elf 30 kwa kg 20 nilikuwepo juzi.
Boss naomba kuuliza je na ww unaifanya hii biashara ya kupeleka mchele Zanzibar
 
Hapo kwenye faida ya laki sita au saba ni uwongo kwa bei ya sasa ya mchele ukipata faida sana ni laki 2 au 3.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Wewe ndo umeeleza ukweli sasa mkuu..vizuri sana

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ulicho kiandika ndicho ninachakijua na watu wengi hukosea kwenye Msimu, upgrade ukikosea hapo imekula kwako mazima
 
Dah kweli mwanangu ..mchele unazungusha sana mfano mimi naweza kuuza hata tani mbili ndani ya mwezi ukaisha ..ila nafanyaje nauza bei ya chini tofauti na wengine wameshikilia bei unakuta wanauza hadi 1800 mimi nakimbiza 1600 hadi 1500 ..so unakuta unatisha fastaaa..naenda chukua mwingine ..iyo nimepata wateja wengi sana ila faida dah ..apo ndo mtiti ulipo kwenye tani moja naweza pata hata 150k au ikizid sana 200k ..sasa kuna mutu hapa eti anakwambia 600k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hehehe aise ...uzuri hii biashara inatakiwa iwe na roho ngumu halafu usiwe mvivu maana ni balaa na nusu..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Duuh tani Moja unapata 150K hiyo biashara mbona jau mkuu.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
 
Duuh tani Moja unapata 150K hiyo biashara mbona jau mkuu.

Sent from my SM-G611K using JamiiForums mobile app
Mkuu ndo khali khalisi ilivyo ..ila inategemea na location ilipo pia. Ili upate faida uza kwa bei tofauti hakikisha una mchele wa 2k 1.8k, 1.5k had buku uko...ule chenga wa vitumbua. Hapo itategemea kama utapata mchele mzuri ili uki grade upate super, grade II, na kuendelea...ni hayo tu mzeebaba[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Na ukitaka faida kubwa ndo hivyo ukubali kukaa na mchele Muda mrefu let say miezi sita, saba ..bora mimi nazungusha chap chap napata faida ndogo laki 2, 2.5 ila nahakikisha ndani ya mwezi mzigo umeisha naenda chukua mwingine ...maisha yanasonga[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Kaka naomba namba nataka nianze kufanya hiyo biashara unipe ujuzi tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…