Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

Msaada wa Mawazo kwa wenye uzoefu wa kununua na kuuza mchele wa Jumla nataka nijiajiri mtoto wa kike

Mkuu ndo khali khalisi ilivyo ..ila inategemea na location ilipo pia. Ili upate faida uza kwa bei tofauti hakikisha una mchele wa 2k 1.8k, 1.5k had buku uko...ule chenga wa vitumbua. Hapo itategemea kama utapata mchele mzuri ili uki grade upate super, grade II, na kuendelea...ni hayo tu mzeebaba[emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
Unautoa mkoa gani na kuuzia wapi kaka?
 
Dah kweli mwanangu ..mchele unazungusha sana mfano mimi naweza kuuza hata tani mbili ndani ya mwezi ukaisha ..ila nafanyaje nauza bei ya chini tofauti na wengine wameshikilia bei unakuta wanauza hadi 1800 mimi nakimbiza 1600 hadi 1500 ..so unakuta unatisha fastaaa..naenda chukua mwingine ..iyo nimepata wateja wengi sana ila faida dah ..apo ndo mtiti ulipo kwenye tani moja naweza pata hata 150k au ikizid sana 200k ..sasa kuna mutu hapa eti anakwambia 600k[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hehehe aise ...uzuri hii biashara inatakiwa iwe na roho ngumu halafu usiwe mvivu maana ni balaa na nusu..

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app

Looh sasa hapa mpaka kuiyona pesa bora uwe na tani kuanzi 5 chini ya hapo naona kama mahangaiko tu
 
Back
Top Bottom