Msaada wa mawazo na uzoefu juu ya biashara hii wapenda maendeleo

Mhina Martin

Senior Member
Joined
Apr 3, 2017
Posts
144
Reaction score
189
Habari Wana Jf, nimeona nishare nanyi ili niweze kujikwamua Na Maisha kutokana Na Tafiti ndogo Ya mazingira niliyonayo , wazo langu la biashara ni kudili Au kuuza open shus,Kama makobazi,jamii ya yebo yebo Za dizain mpya,visendo sendo simple,vindala nk vya wanaume na wanawake Hilo Ndo wazo lango ,plan yangu
@Niuze Kwa kuzunguuka kwenye masoko ya kata Katika mazingira yangu Nimezunguukwa na masoko manne Kuna soko la jumanne,soko la Jumatano soko jumamos Na soko la jumapili So naomba maoni na uhalisia kwa wazoefu Na wataalamu Mambo yafuatayo. #je ntatoboa na Hilo wazo lango liko sawa ?? Wapi niboreshe au kipi kifanyike #Wapi ntaweza kupata mzigo wa jumla au chimbo lipi Kwa Bei nzuri na viatu vizuri zinazoenda na Wakati Kwa vijana wa sasa Na watoto. #Unashauri mtaji kiasi gani unaweza kutosha kunipa faida mzur kurani hii biashara vizuri. #Wazoefu wa masoko na biashara Za namna Mbinu Gani nzuri Za kivita Za mauzo napaswa kutumia Ili niuze sana,nipate wateja wengi, namna bora Ya kuona Na kuweka faida ya mauzo nk. #Share nami changamoto ya hii biashara Ili nijipange kukabiliana nazo Na kuzipunguza maana Niko sirious Maisha magumu
mwisho naomba kuwasilisha Nipo Mkoa wa Tanga ,nakaribisha maoni na michango .
 
sasa mkuu hizo "open shus" zinapatikana wapi?
 
Back
Top Bottom